Tumlaumu makamba kwa kumsahau membe katika list ya wasiokufa
Makamba ni nani katika ulimwengu huu?Kuna siku atakufa tu kama Magufuri na tutafanya sherehe maana kwa watu wanaoongoza kwa kuiteketeza Tanzania ni Makamba.
Weka evidence acha kupayuka.yaani unataka kusema lisu alipata Kura nyingi zaidi ya Magufuli?alafu unasahau Samia kanunua chadema yote
Wewe mpumbavu nini,unafikiri mimi ni mtoto na mburura kama wewe?Unataka kusema watu wote waliogombea kwenye Vyama mbali mbali vya siasa hawakuwa na sifa za kuwa wagombea halali isipokuwa ccm?Mbona wale wale ambao alisema hawafai wakiunga juhudi kwake vyeti feki,uwakala wa mabeberu na ugaidi vinaisha hapo hapo.Yaani watu wakimkubali rais basi wanatunukiwa shahada za usafi hata kama ni majambazi,hiyo ni akili?Hakika Mungu anawaona na ujinga wenu huwezi kuniambia kuwa mimi nisipomkubali Mama Samiah basi mimi ni mkimbizi,cheti feki,mwizi,wakala wa mabeberu au muuza madawa ya kulevya,huo ni ujuha na upumbavu.
 
Makamba ni nani katika ulimwengu huu?Kuna siku atakufa tu kama Magufuri na tutafanya sherehe maana kwa watu wanaoongoza kwa kuiteketeza Tanzania ni Makamba.

Mbona alopsema wapinzani watabatizwa kwa moto na magufuli mlifurahia sana?

Je mnazani wapinzani walijisikiaje Na akawafanya kweli.

Sasa nyie kauli moja tu imekuwa nongwa?!

Ukiwa mchoyo usiwe mlafi [emoji108][emoji108]
 
Makamba anaorodha ya watu wema wasiokufa na wachache aliwataja dodoma
 
Mbona alopsema wapinzani watabatizwa kwa moto na magufuli mlifurahia sana?

Je mnazani wapinzani walijisikiaje Na akawafanya kweli.

Sasa nyie kauli moja tu imekuwa nongwa?!

Ukiwa mchoyo usiwe mlafi [emoji108][emoji108]
Sikiliza Akilinjema ndiyo maana sehemu nyingi Tanzania,Afrika masharika,Afrika na hata ulimwenguni ukiitwa "mswahili" basi umetukanwa sana Ubatizo wa moto ni tabia za kejeli Waswahili kwa ajili ya kulinda maslahi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…