Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Au Cyprian Musiba inawezekana kaenda kushtaki kwenye mahakama ya mnyonge(kilingeni)?
Makata ikitumwa haikoseagi ni faster!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au Cyprian Musiba inawezekana kaenda kushtaki kwenye mahakama ya mnyonge(kilingeni)?
Bora shangazi aache kudai.Musiba atakuwa na smiling face siku ya leo.
Lakini Shangazi bado yupo na anadai zile 2B+
Atanyolewa tu in any way.
Nimeshakupa kura kila lakheri kwako.SoC03 - Mfumo wetu wa elimu ndo kilio chetu naomba kura yako mkuu katika andiko langu
Naona ni propaganda tu, siku 5 za kupiga mnada zilipita muda mrefu tu. Gazeti la raia mwema likaandika yono wamepigwa marufuku kufanya mnada. Nikaona ni sarakasi tuBush lawyer, pesa za marehemu ni mirathi ya familia, vitu vikipigwa mnada pesa inakwenda kwenye account ya mahakama, baada ya mirathi Msimamizi wa mirathi anajaza fomu ya kugawanya pesa za marehemu zilizopo kwenye bank zote kwa wanufaika wa mirathi.
Endeleeni kudanganyana, Membe amejenga msingi mzuri wa kuwatia adabu waropokaji wote.
Mungu ameamu ugomvi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kibongobongo kesi ishaisha hivyo... hao walimwengu watazungumza na familia watawapa ahadi za hapa na pale na wakiendelea kumsumbua wataliwa vichwa wote...
Kuongea au kutangaza uongo ni dhambiRIP Membe.
Musiba anashingilia saa hizi.
Apumzike kwa amani.alikuwa handsome sana enzi za ujana wake
Kwa sababu kuna kuzushiana vitu vya uongo kwa kuwa tu watu wanauhasama baina yao. Ishatokea mara kadhaa ndio maana tunauliza chanzo cha habari kabla hatujaandika RIP.Sasa source itakusaidia nini kama ushaambiwa mtu kafariki?
Kwa kuhofia kufa au?Bora shangazi aache kudai.
R.I.P B.C MembeAliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.
Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.
Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.
Kuna kauli ilikuwa inatumiwa Sana 2021 na baadhi ya watu kuwa "Mungu ameamua ugomvi" sijui hapa napo inatakiwa kutumika.....!Safi sana,alichekelea kifo cha mpendwa wetu Magufuli.
Muda mwingine hata Ukimsamehe Adui yako Mkubwa kwa mabaya yote aliyokufanyia huwa ni Kinga tosha ya Ulinzi wako kutoka kwa Mwenyezi Mungu na kuna mahala Mwenyezi Mungu atakubariki pakubwa kwa huko Kusamehe Kwako.Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.