TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Wewe tulia, muhusika kaondoka. Familia wala haitaendelea na hili. Wao wanaachana nalo hili.Ninajua kuna kurithi wadai na wadaiwa.Ila kwa hili la kesi ya Musiba,Familia inaliacha linaondoka na aliyepeleka kesi.
Nikisema huna akili nitakuwa nakukosea?

Dalali anayeuza Mali anapewa kazi na mahakama na ana commission yake, sijui mlikwenda shule kufanya nini yarabi?
 
Bush lawyer, pesa za marehemu ni mirathi ya familia, vitu vikipigwa mnada pesa inakwenda kwenye account ya mahakama, baada ya mirathi Msimamizi wa mirathi anajaza fomu ya kugawanya pesa za marehemu zilizopo kwenye bank zote kwa wanufaika wa mirathi.

Endeleeni kudanganyana, Membe amejenga msingi mzuri wa kuwatia adabu waropokaji wote.
Vipi mungu ameingilia kati?
 
Yatamfuata kaburini,tulimwambia asamehe. Akakataa.



Kwenda mahakamani si kosa maana ndiko kuyatii mamlaka badala ya kujichukulia sheria mkononi.

Kusamehe maana yake nini?

Yaani itakuwa jamii ya aina gani iwapo watu watakuwa wakifanya makosa ya makusudi wakitegemea kuwa watasamehewa ,

Tutajenga jamii ya aina gani?

Acheni hizo bana!
 
Mungu wetu fundi sana tu!

Kesi ndio imeishia hapo!

Mbaya zaidi membe ni moja kwa moja motoni maana kaga akiwa na chuki kwa musiba hata baada ya kuombwa na maaskofu asamehe.
Motonii ausiooo? 😀
😀 😀 😀 😀 😀
 
Kwenda mahakamani si kosa maana ndiko kuyatii mamlaka badala ya kujichukulia sheria mkononi.

Kusamehe maana yake nini?

Yaani itakuwa jamii ya aina gani iwapo watu watakuwa wakifanya makosa ya makusudi wakitegemea kuwa watasamehewa ,

Tutajenga jamii ya aina gani?

Acheni hizo bana!
Haya nenda kauze sasa Mali za msiba si ndo furaha yenu nyie vinyago
 
Mazishi lini nikamzike Shujaa wangu aliyetuahidi kuwa akishinda Uraia pacha utakuwa rukhsa.

Familia inasemaje?
 
View attachment 2618772

Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.

Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.

Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.

Duh R.I.P Comrade Benard Membe..!! 😭😭😭😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom