TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Bwana alitoa, Bwana ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe.

Pole sana kwa familia.
 
Wamempiga sindano ya Sumu kisa Billion 9 hii Nchi sio kabisa yaan
wana uwawa vijana wetu kwa wizi wa simu ya shilingi 30,000/- tu itakuwa hii lakini binafsi naamini Musiba hana uchawi wala nguvu ya kumfikia mtu huyu ni muda tu ulifika.
 
Back
Top Bottom