TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
So what,kwanza aliyoyasema Musiba ni ya kweli kabisa,wakiendeleza nao wataondoka kabla ya siku zao.
Kama aliyosema ni kweli mbona mahakama imemkuta na hatia na kumlipisha faini ya 9b? Mbona hakukata rufaa?
 
Unajua sio rahisi kama unavyotamani. Kisheria kabisa musiba alitakiwa kupata adhabu kwa kukataa wito wa mahakama.
Musiba alipokea wito wa mahakama, Ila akakataa kwenda. Unahisi kwa nini mahakama haikuchukua hatua kwa kudharauliwa na musiba?

Usifikiri bongo mahakama Ina nguvu kiasi hiko. Juzi hapa yule jaji mstaafu wa mahakama kuu alisema moja ya kitu kilichomtesa sana ni pale alipoona hukumu ya mahakama kuu inachanwa hadharani kabisa na aliyekua waziri mkuu lowassa. Na hakuna kitu walifanya
Uko sawa👍
 
Back
Top Bottom