Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado muuza ngada wa msoga the chegovara huyo sidhani kama 2025 tutakuwa naye ...nitakuwa na furaha kwelikweli ili takataka la msoga...shetani akilichukua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado muuza ngada wa msoga the chegovara huyo sidhani kama 2025 tutakuwa naye ...nitakuwa na furaha kwelikweli ili takataka la msoga...shetani akilichukua
Usimfundishe samaki kuogelea.Shangazi yako mwambie apige jalamba
Hapana coz anaye dai hayupoVP MUSIBA ATAMLIPA?RIP MEMBE
Uthibitisho?Wakati alidhulumu uchaguzi na kuingiza wabunge feki 19 Bungeni kwa rushwa ya ngono wakishirikiana yeye na Job Ndugai.
Mungu ailaze roho ya BM marahali pema peponi. Tukiwa tunaomboleza msiba wa BM, bado tunakumbuka sana kauli chafu na mbaya za Mbunge wa Mtama (Nape) aliposema kifo cha Dkt Magufuli eti kaamua Mungu ugomvi, na Mzee Makamba aliposema wazee walifika wakasema sasa basi inatosha na wazuri hawafi. Nadhani Nape huko alipo keshajibiwa jibu lake na Mungu kuwa aliyoyatamta kuwa Mungu kaamua ugomvi basi na yeye mtu wake wa karibu aliyekuwa na ugomvi na Musiba kimemtokea hicho hicho. Na tulishaonya hapa jukwaani muda sana kuhusu hii tabia na kibaya zaidi Rais Dkt Samia anawachekea tu hawa waropoka ovyo kiasi kwamba hata yeye anaonekana alishangilia kifo cha Dkt Magufuli. Rais Dkt Samia kifo cha BM kiwe fundisho kwake, apige marufuku dhihaka dhidi ya Dkt Magufuli, na hii tabia ya kushangilia vifo vya viongozi ikomeshwe. Nategemea humu jukwaani memba wale BAN wanaoshangilia kifo cha Dkt Magufuli na BM. Na hii habari tulishasema wanaompenda Dkt Magufuli ni wengi sana tena sana.Kama Taifa tunatakiwa tutoke kwenye siasa hizi za chuki zilizozalishwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015. Baada ya Uchaguzi ule na John Pombe Magufuli kuingia madarakani, kulitokea uhasama mkubwa sana kati ya watu waliokuwa wanamuunga mkono na wale waliokuwa wanapingana na staili yake ya utawala.
Leo Baada ya kutangazwa kwa Kifo cha Bernard Camilius Membe, unaona kabisa limeibuka kundi la watu humu JF ni kama wanahanikiza furaha yao kwa kifo cha Membe. Watu hao ambao wanajificha nyuma ya kuonesha furaha kwamba Cyprian Musiba hatalipa tena hela alizotakiwa kumlipa Membe, lakini kwa undani unaona kinachowafurahisha zaidi ni kuona mmojawapo wa wapinzani wa Magufuli naye Kafariki.
Wakumbuke kwamba ni wao waliokuwa wanasema wakati wa msiba wa Magufuli kwamba "hakuna atakayeishi milele" na Leo ni ushahidi mwingine kwamba hakuna atakayeishi milele.
Watu wafanye maridhiano dhidi ya nafsi zao!!
DaaaaKutoka Mwibara...View attachment 2618903
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msiba atacheza nao mmoja baada ya mwingine...kwà kutumia dawa hiyo hiyo.
KUUMWA kifua kidogo tu CHALI!!!
Duh..
Team Magu bado ipo kwa system wazee.. Tekini Care..
Kweli.Duuuh, Mungu huwa anashangaza sana
Binafsi sikuwahi kutegemea kama viongozi wakubwa hawa
- Samwel Sitta, JPM, Benard Membe wangeondoka wamuache EDWARD LOWASSA akiwa Hai
KIFO ni Ibada, tusisahau hilo, Tupendane na Tutendeane mema
Mungu anaamua yupi aondoke kwa muda gani na HAKIKA Pesa, Jina na Umaarufu sio kigezo cha kuwa Hai
Mungu awafariji wafiwa wote.
Wakiendelea kumdai musiba wataputika wote,waachane na huo ujingaKwamba hatalipa? Hiyo haitakaa itokee kwenye madai yake alijumuisha familia Sasa kama unavyojua Kuna Sheria ya mirathi "kukusanya na kulipa madeni yote ya marehemu"
Ni kweli kwamba,"Hakuna atakayeishi milele" lakini akifa dhalimu watu hufurahi,Membe kafa peke yake hajabeba mizigo ya watu kafa kifo chema cha miaka 70 maana yake SABATO ikiwa na lengo la Kazi nimeimaliza acha nipumzike kwa amani nifurahie matunda ya kazi yangu.Kama Taifa tunatakiwa tutoke kwenye siasa hizi za chuki zilizozalishwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015. Baada ya Uchaguzi ule na John Pombe Magufuli kuingia madarakani, kulitokea uhasama mkubwa sana kati ya watu waliokuwa wanamuunga mkono na wale waliokuwa wanapingana na staili yake ya utawala.
Leo Baada ya kutangazwa kwa Kifo cha Bernard Camilius Membe, unaona kabisa limeibuka kundi la watu humu JF ni kama wanahanikiza furaha yao kwa kifo cha Membe. Watu hao ambao wanajificha nyuma ya kuonesha furaha kwamba Cyprian Musiba hatalipa tena hela alizotakiwa kumlipa Membe, lakini kwa undani unaona kinachowafurahisha zaidi ni kuona mmojawapo wa wapinzani wa Magufuli naye Kafariki.
Wakumbuke kwamba ni wao waliokuwa wanasema wakati wa msiba wa Magufuli kwamba "hakuna atakayeishi milele" na Leo ni ushahidi mwingine kwamba hakuna atakayeishi milele.
Watu wafanye maridhiano dhidi ya nafsi zao!!
Una ushahidi wowote kwamba Mimi nilifurahia kifo Cha Magufuli?Mbona wewe ulifurahia kifo cha Magufuli kwani wewe sio Expected dead?
Mzee Makamba na Nape (wengine wanamwita Nepi) tunasubiri hotuba zaoBwana wewe!
Wazuri hawafi!
Mungu fundi
Mungu ameamua ugomvi
Ni katika harakati za Mungu kuamua ugomviJe ana record ya kuumwa kifua? Or that case happen suddenly?