TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado muuza ngada wa msoga the chegovara huyo sidhani kama 2025 tutakuwa naye ...nitakuwa na furaha kwelikweli ili takataka la msoga...shetani akilichukua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mzee wa msoga VASCO DA GAMA WA KITANGANYIKA.
 
View attachment 2618772

Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.

Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.

Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.
Dah! Maisha yetu tunatembea nayo mkmikononi mwetu. Mola ilaze roho yake mahali pema peponi. Mzee Makamba alitufundisha kuwa watu wazuri hawafi, imekuwaje tena!

Yaani Membe mauti yamemkuta ghafla ndani ya siku 14 alizotoa ultimatum kulipwa B9 zake?
 
Serikali hailogwi he must pay and he will pay! Hakuna Justification kwamba Musiba amehusika na kifo Cha BM,amekufa natural death! The only thin Deni lisilipwe Ni Msiba na familia yake yote kids au kusamehewa
Unajua matamanio hayazidi uhalisia, wewe haya ni matamanio yako Ila ulipaswa Kuna vitu ujiulize kabla ya kutamani hivyo.

Sio rahisi, nimekueleza hapo hapo sio rahisi kihivyo. Bongo mahakama haina nguvu kwa baadhi ya watu. Mahakama Ina nguvu kwako, sio kwa wote ndio maana hata yule jaji wa mahakama kuu huku yake ilichanwa na hakuna kitu alifanya

Kitendo cha musiba kukataa wito wa mahakama, ilitosha kwanza kupewa adhabu ya kifungo. Lakini jiulize amekataa wito wa mahakama, na bado amekataa hukumu ya mahakama. Alafu yono madalali ambao walipewa kazi leseni yao ikazuiwa
 
Hapana hawezi kukesha kwa sababu Ile Ni amri ya Mahakama na Kuna Sheria ya Urithi na mirathi kaisome vizuri! Kuna kipengele "kukusanya Mali na madeni ya marehemu" pale Ni pagumu hasa ukizingatia Membe kwenye Kesi ya Msingi alijumuisha familia yake na kwa maana hiyo atakayetake charge kwa niaba ya baba ataorodhesha pia miongoni mwa watu ambao baba anawadai Ni Musiba na iko clear kwamba kuna hukumu ya kimahakama! Labda familia imsamehe! Lakini bado Yuko Liable to pay!

ATAKATA RUFAA, NA MDAI HAYUPO ATATUMIA NGUVU NA RASIMALI KIDGO SANA NA KESI ATASHINDA TUNZA HII COMENT
 
Kama Taifa tunatakiwa tutoke kwenye siasa hizi za chuki zilizozalishwa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015. Baada ya Uchaguzi ule na John Pombe ...
Afadhali kafa. Kachero gani kaifikisha nchi hapa tulipo.

Hawa mbwa wana nafasi kubwa sana kuiweka hali ya nchi katika hali imara.

Wamechekezea posho na mishahara na kuitelekeza nchi katika lindi la wizi na ufisadi.
 
Back
Top Bottom