myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
AiseeHuyu kuna mtu kaposti twitter alienda kula lunch naye siku 3 zilizopita nadhani ni Serena Hotel kwa mandhari ya nje. Membe alikuwa fiti tu. Aisee, alikuwa anajiamini namna hiyo hadi kuagiza chakula hotelini wakati anajua ana unfinished business na mtu hatari kama Musiba?