TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Hawakumshtaki kipindi kile kwa kuwa Musiba alikuwa anatumiwa na Magufuli kutukana watu, so alikuwa anamkingia kifua. Hakuna hakimu wala jaji angeweza kuwagusa team Magufuli na Sukuma Gang.

Lakini kama mahakama imemuonea mbona mwenyewe hajakata rufaa badala yake alikuwa anatuma watu kumuombea msamaha kwa Membe? Why?
Hahahaa daah... kwa taarifa yako membe alimshinda Musiba Mahakamani wakati magufuli alikua madarakani, hukumu imekaziwa kipondi hiki tu.

Haya mambo ya kumchafua marehemu hayawasaidii.. hata hivyo mungu ameingilia kati.
 
Daah sasa itakuwaje?

Ndio maana Musiba hakuwahi kujitokeza kumuomba Marehemu Msamaha!!

Ila kama kesi imeshatokewa maamuzi wanasheria naombeni ufafanuzi utekelzaji wake unakuwaje?
 
Kama wamemtanguliza watamfuata
Nahisi ametangulizwa.Duh,imekuwa ghafla mno.Lakini alikuwa mwiba kwa establishment,hasa Magufuli,na ana mvuto zaidi kwa watu makini,ingawa alikuwa na makando kando yake hasa tuhuma za ufisadi.Mvuto wake inawezekana umechangia katika kifo chake.Nahisi pia Musiba ana mkono wake hapa kama ni kweli.Anyway R.I.P Membe,chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
 
Hakuna aliyeshangilia kifo chake, ila watu walishangilia kuondoka kwenye kongwa la mateso.

Magufuli alikuwa na mazuri yake lakini pia alikuwa na mabaya yake mengi sana hasa lilipokuja suala la haki za binadamu.

Kama kuna anayemtukana mtu basi hiyo ni tabia binafsi ya mtu na wala si watu wote ni watukanaji!!
Basi waache wanaoshangilia washangilie. Wana Sababu zao kama wale walioshangilia kifo Cha JPM. Twendeni hivyo hivyo tutafika tu.
 
Hakuna mtu anashangilia kifo cha mtu ila ktk hili ni SoMo kwetu hasa wale waliopo ona Magufuli amefariki wakaona ndio muda wakumnanga na kumsema...
Kuna wakati nasoma haya maneno nashindwa kuelewa jambo vizuri.. Tumaini,hivi unaona ni sawa mpaka leo tuwaseme vibaya akina Amin.

Savimbi,Hitler au ata Mobutu wakati atupo nao? Nadhani ifike mahali basi tuachane na tabia za kuzungumzia watu waliotangulia mbele ya haki.
 
Buriani Membe. Aliugua ghafla usiku au ilikuwa ni maradhi ya siku nyingi?
Lakini kwa umri wake miaka 70 huwezi kumwita kijana.
Halafu yenye ni kiongozi wa Kitaifa lakini hakwenda hospitali ya Mzena ingawa ipo equidistant na Kairuki kutoka pale nyumbani kwake.
Una hoja usikilizwe, kwanini Membe hakwenda Mzena hali ya kuwa ni mtumishi wa ile idara?
 
Back
Top Bottom