Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ataingilia katiNaomba familia iendelee kukomaa; Musiba hana adabu. Au kama vipi Zitto Kabwe na January Makamba waendeleze gurudumu ili huyu mbwa afilisiwekabisa.
Siku zote wenye nguvu na influence kubwa ndio waasisi wa vitu hivyo !!Mnaona Watanzania tulipo fika jamani...
Visasi vitatumaliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jasusi km kacherooo chaliiiiiiii
Specualation lazima. Wale watu walioongea na mimi walikuwa very determined.Leo speculations zitakiwa buku na ushee
Hakuna aliyeshangilia kifo chake, ila watu walishangilia kuondoka kwenye kongwa la mateso.Nyie ndiyo mliokuwa wa kwanza kushangilia kifo Cha JPM na mpaka leo bado mnamtukana.
Alikuwa mtumishi wa umma(Achana na huo uwaziri) kwa zaidi ya nusu ya uhai wake hili huelezi? Badala yake unaeleza mambo yasiyo na muhimu kivilee. WaLan yu akhara Allahu nafsi izaa jaaa Ajaluha-He it is Who has created you from clay, and then has decreed a stated term (for you to die)View attachment 2618772
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Benard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.
Benard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia jimbo la Mtama na alihitimisha safari hiyo mwaka 2015 na kujaribu kuwania tiketi ya kuwania nafasi ya Urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), tiketi ambayo alipewa hayati John Magufuli.
Mwaka 2018 aliandikwa na gazeti la Tanzanite akituhumiwa kuweka ajenda ya kutaka Rais Magufuli asipewe nafasi ya kuwania Urais 2020, ambapo alifungua kesi ya madai ya kuchafuliwa na kushinda kesi hiyo, alikazia hukumu iliyomtaka mmiliki wa gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba alipe Tsh. bilioni 9 ndani ya siku 14.
Asiye na huu ana ule. Angesamehe huenda asingekufa.duh kama kweli hata angesamehe angeishi milele?
ila asingeishi mileleAsiye na huu ana ule. Angesamehe huenda asingekufa.
Allen Kilewella sisi wapambe kindaki ndaki wa uadilifu tuliona tupumzike kidogo maana kila kukicha tulikuwa tunalia kwa sababu ya kejeli na kebehi kwa Dkt Magufuli, tuliomba platform kibao zikomeshe hii tabia na wapige marufuku dhihaka kwa Dkt Magufuli ila matokeo yake mpaka wakaenda kumtungia kitabu kumchafua.Mudawote Kitambo "no see".
Leo umetoka mafichoni.
Upinzani ulikufa kweli 2015 na CCM inapendwa kwa asilimia mia (100%)?
Sukuma gang hao mawakala wa shetani mtoa roho,Achana nao fanya kazi yako endelea kumtukuza Mingu kwa kukupa uhai na kushuhudia utukufu wake.Membe kafa kifo chema Miaka 70 wengine hatutafika huko hata yule dhalimu hakufikisha hiyo miaka.Naaona leo mmefufua zile akaunti zenu mlizokuwa mmezizika!!
Leo mmekuja na "Full swing" kama mko harusini na chereko za kutosha!!