sunguramjinga
Senior Member
- May 11, 2023
- 175
- 227
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu fundi.Aisee!!
Ndicho mlichobakia nacho. Mmejaa roho za visasi ni shetani tu ndiye anayependezwa nanyi!!
Basi usilalamike Wala kutaka wengine wasishangilie. Kuwa mpenzi mtazamaji tuMimi sina rangi.
Huwa huru kusema ninachokiamini kwa kuwa roho yangu haina inda na mtu.
Mkuu, naomba unitoe kwenye utata, nipe kifungu cha sheria kinachoruhusu ama kukataza utekelezwaji wa hukumu iliyokwishatolewa juu ya ulipwaji wa kile kiasi cha pesa.Kwa hiyo musiba anadhani hii ndio njia ya ku set aside exparte judgment?
Kuna mahali nimelalamika??Basi usilalamike Wala kutaka wengine wasishangilie. Kuwa mpenzi mtazamaji tu
Musiba hata huko mahakamani hutamuona. Hili wengi hamtaki kujiuliza kwa NiniATAKATA RUFAA, NA MDAI HAYUPO ATATUMIA NGUVU NA RASIMALI KIDGO SANA NA KESI ATASHINDA TUNZA HII COMENT
Leo ni siku ya beer na nyama chomaNa ataendelea kutukanwa mpaka mwisho wa dunia pumbavu zake.
hizi zote ni speculations tu !!Sasa serikali itawindana hadi lini
Mungu ailaze roho yake panapostahili maana hakuwa mtu wa kusamehe na kaondoka na dhambi zake za kutosamehe hata alipoombwa na Watumishi wa Mungu kufanya hivyo aligomaR.I.P
Wabongo MNA shida sana na ndio maana hii nchi hakuna maendeleo.Swali la msingi kabisa kwanini apelekwe Hubert Kairuki wakati alikuwa kiongozi mwandamizi wa serikali??? Je Hubert Kairuki ni nzuri kuliko Muhimbili?? Je na ile hospitali ya viongozi wa serikali kwa nini hawakumpeleka huko???? Je BM kafariki hana imani na serikali???? Haya ni maswali ya msingi sana. Kikubwa watanzania tuwe wamoja, naamini kabisa BM alikuwa mzalendo sana na kaitumikia nchi yetu kwa uzalendo wa hali ya juu, anahitaji heshima tuache dhihaka. Ni kama ilivyo kwa Dkt Magufuli, tusipende kulipiza kisasi, wote sisi ni wafiwa watarajiwa na kifo hakiepukiki.
Mzeee kumbe upo so good to see uChangamoto ya upumuaji awamu ya pili imeanza, baadhi ya viongozi waandamizi wachukue tahadhari..
Kwa nini tuandikie na mate tusubiri,muda ndio utakuwa hakimu.Porojo dot com.
Wewe ndo maana mkulungwa anakusifiaga mno... mnafanana tabiaChaliiiii kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]