TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia
Kwakweli hata wafe kina membe 50,kwangu kufa yule jamaa muuaji kutoka chatle hata sasa nina furaha saaaaanaaaaa.Membe hana effect yoyote.Kwo kumfananisha na ******** muuaji ni KUTAFUTA namna ya kujifariji tu
Wahi msiban jombaa ukazike mzoga wenu Kwanza ushaanza kunuka , ukiendelea kuzurura humu jF mwisho utazimia 😁😁
 
Pumzika kwa amani Jasusi Benard Cammilius Membe, waswahili wanasema kulia ni kupokezana. Kauli ya kamaradi wako Mzee Makamba inatumika kukupiga "watu wazuri hawafi". Japo umekata kauli , msiba wako unatoa taswira jinsi kulivyo na tabaka mbili katika Watanzania. Tabaka lililoumizwa na msiba wa JPM leo ndio wanasherekea mauti yako. Tabaka la walifurahia kifo cha muzilankende (JPM) Leo ndio wanakulilia japo hawana nguvu ya UMMA nyuma yao na msiba umebaki wa familiar chache za mikocheni na masaki kama kina Zito Zuberi wanaokuja msibani na makamera.
 

Attachments

  • IMG-20230512-WA0298.jpg
    IMG-20230512-WA0298.jpg
    86.9 KB · Views: 1
Pole yetu sote watanzania na hasa kwa familia. Pole sana Mh. Nape Nnauye kwa kuondokewa na Baba yako wa kisiasa na mlezi wako aliyekukabidhi jimbo la Mtama. Watanzania tuwe wamoja ktk kipindi hiki kigumu cha majonzi. Apumzike kwa Amani Mh. Bernard Membe, hakika taifa limepoteza mwana deplomasia mahili.
Uwe pamoja na nani bwege kweli wewe, "Niguse ninuke" 🤣
 
Mpumbavu kweli wewe.

Kwani mtu kuku impact mpaka mkutane.

Alivyozuia nyongeza za mishahara kwa wafanyakazi mpaka kupelekea wamchukie walikutana nae wapi?

Ndugu wa Ben sa 8 unafikiri wanampenda Magu?

Je waliwahi kukutana?.

Huko CCM amfundishwi kufikiri kwa mantiki?

All in all jamaa lako limekufa na limeshaoza.
Kama ambavyo mlamba asali Membe anaenda kuoza soon 🤣
 
Back
Top Bottom