zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Chadema tokea 2004, Cha ajabu tukimkosoa JPM tunageuka team membe!! Sukuma gang mna stressUpo chama gani? Kuwa ccm sio lazima uvae kijani hata hisia tu zinatosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema tokea 2004, Cha ajabu tukimkosoa JPM tunageuka team membe!! Sukuma gang mna stressUpo chama gani? Kuwa ccm sio lazima uvae kijani hata hisia tu zinatosha
Magufuri aliweza tu kuiba chaguzi za 2019 na 2020,kununua wabunge,kuharibu mfumo wa siasa na kuweka Wabunge 19 Bungeni.Chukua tissue futa machozi then jipige kifuani sema Mungu kaamua ugomvi. Mbona hujataja Membe aliyoshindwa ila Magufuli kayaweza tofauti na hilo kombe lenu la miaka 70
Magufuri aliweza tu kuiba chaguzi za 2019 na 2020,kununua wabunge,kuharibu mfumo wa siasa na kuweka Wabunge 19 Bungeni.
Weka evidence acha kupayuka.yaani unataka kusema lisu alipata Kura nyingi zaidi ya Magufuli?alafu unasahau Samia kanunua chadema yoteMagufuri aliweza tu kuiba chaguzi za 2019 na 2020,kununua wabunge,kuharibu mfumo wa siasa na kuweka Wabunge 19 Bungeni.
Makamba ni nani katika ulimwengu huu?Kuna siku atakufa tu kama Magufuri na tutafanya sherehe maana kwa watu wanaoongoza kwa kuiteketeza Tanzania ni Makamba.Tumlaumu makamba kwa kumsahau membe katika list ya wasiokufa
Mna uhakika nyaraka zilizotoka kwa viuongozi waliomwombea musiba msamaha hazikuwa na chochote chenye kudhuru?😂😂😂😂😂😂😂
Makamba ni nani katika ulimwengu huu?Kuna siku atakufa tu kama Magufuri na tutafanya sherehe maana kwa watu wanaoongoza kwa kuiteketeza Tanzania ni Makamba.Tumlaumu makamba kwa kumsahau membe katika list ya wasiokufa
Wewe mpumbavu nini,unafikiri mimi ni mtoto na mburura kama wewe?Unataka kusema watu wote waliogombea kwenye Vyama mbali mbali vya siasa hawakuwa na sifa za kuwa wagombea halali isipokuwa ccm?Mbona wale wale ambao alisema hawafai wakiunga juhudi kwake vyeti feki,uwakala wa mabeberu na ugaidi vinaisha hapo hapo.Yaani watu wakimkubali rais basi wanatunukiwa shahada za usafi hata kama ni majambazi,hiyo ni akili?Hakika Mungu anawaona na ujinga wenu huwezi kuniambia kuwa mimi nisipomkubali Mama Samiah basi mimi ni mkimbizi,cheti feki,mwizi,wakala wa mabeberu au muuza madawa ya kulevya,huo ni ujuha na upumbavu.Weka evidence acha kupayuka.yaani unataka kusema lisu alipata Kura nyingi zaidi ya Magufuli?alafu unasahau Samia kanunua chadema yote
Makamba ni nani katika ulimwengu huu?Kuna siku atakufa tu kama Magufuri na tutafanya sherehe maana kwa watu wanaoongoza kwa kuiteketeza Tanzania ni Makamba.
Makamba ni nani katika ulimwengu huu?Kuna siku atakufa tu kama Magufuri na tutafanya sherehe maana kwa watu wanaoongoza kwa kuiteketeza Tanzania ni Makamba.
Wewe mpumbavu nini,unafikiri mimi ni mtoto na mburura kama wewe?Unataka kusema watu wote waliogombea kwenye Vyama mbali mbali vya siasa hawakuwa na sifa za kuwa wagombea halali isipokuwa ccm?Mbona wale wale ambao alisema hawafai wakiunga juhudi kwake vyeti feki,uwakala wa mabeberu na ugaidi vinaisha hapo hapo.Yaani watu wakimkubali rais basi wanatunukiwa shahada za usafi hata kama ni majambazi,hiyo ni akili?Hakika Mungu anawaona na ujinga wenu huwezi kuniambia kuwa mimi nisipomkubali Mama Samiah basi mimi ni mkimbizi,cheti feki,mwizi,wakala wa mabeberu au muuza madawa ya kulevya,huo ni ujuha na upumbavu.
Mbona alopsema wapinzani watabatizwa kwa moto na magufuli mlifurahia sana?
Je mnazani wapinzani walijisikiaje Na akawafanya kweli.
Sasa nyie kauli moja tu imekuwa nongwa?!
Ukiwa mchoyo usiwe mlafi [emoji108][emoji108]
Hii nyimbo nitaenda kuinunua hiiWamelowa wamelowaaa, wamenyeshewa na mvuaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sikiliza Akilinjema ndiyo maana sehemu nyingi Tanzania,Afrika masharika,Afrika na hata ulimwenguni ukiitwa "mswahili" basi umetukanwa sana Ubatizo wa moto ni tabia za kejeli Waswahili kwa ajili ya kulinda maslahi yao.Mbona alopsema wapinzani watabatizwa kwa moto na magufuli mlifurahia sana?
Je mnazani wapinzani walijisikiaje Na akawafanya kweli.
Sasa nyie kauli moja tu imekuwa nongwa?!
Ukiwa mchoyo usiwe mlafi [emoji108][emoji108]
Wazee wa Lindi wana jambo lao, wana VAR yao.
Mungu anamwona kuna siku atajutia kauli zake.Makamba anaorodha ya watu wema wasiokufa na wachache aliwataja dodoma
Hata sisi tunatapatapa mpaka leo kujua chanzo cha kifo cha jemedari wetu pambaneni na hali zenuMna uhakika nyaraka zilizotoka kwa viuongozi waliomwombea musiba msamaha hazikuwa na chochote chenye kudhuru?
Mungu fundi, bahari imetuliaaaa tuliApumzike kwa amani....
Alaumiwe kwa kusahau kuandika jina la kachero mbobezi😁Makamba anaorodha ya watu wema wasiokufa na wachache aliwataja dodoma
Kama ilivotulia march sio 😁Mungu fundi, bahari imetuliaaaa tuli