Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?


Duuh we jamaa
 
mpaka half time, timu msoga 1 - 1 sukuma gang. tusubiri second half.

Hapo umebugi.Mzee wa 70 asiyemadarakani kuwa eliminated haiwezi kuweka mizani sawa na the eliminated no 1.
 
Mimi naomba kujua je Magu hakuwa fisadi au ndiyo kujificha kwenye mwamvuli wa uzalendo? embu waza hivi ikiwa kama kweli alikuwa ni mzalendo kwanini alitaka zaidi kukijenga kijiji chake hata kutaka kukibadili kiwe mkoa?

na je hela alizokuwa anagawa barabarani kama karanga alikuwa anazitoa wapi? kwanini hakutaka kupingwa kama kweli hana makandokando? ... kama mtu ni msafi woga ulitoka wapi hata kufanya bunge liwe la chama kimoja tu.

Je kuwaua wapinzani wako hiyo ni haki mbele za Mungu? kuzui pesa za watu benk kwa kisingizio cha uhujumu uchumi hiyo ni sawa mbele za Mungu?. kwanini alisema yeye hapangiwi je yeye alikuwa ni malaika kwamba hakosei?..
 
Niambie rais gani hajajenga ama kufanya na kufanyiwa maendeleo kwao nikuonyeshe, marrow down hata kwa mawaziri wakuu ambao wengine wamepewa hadi mikoa za wilaya 3 kabisa na airports,

Hata current presdizaa unajua kinachofanyika kwao miundombinu na vingine? Au wewe sio mvuka maji?

Achana na hizo flavorous issues, let's discuss big issues za maendeleo
 
Viongozi kujenga kwa siyo tatizo, Tatizo speed ya magu kujenga kwao ilikuwa inashangaza sana, yaani kufikia hadi kubadili kijiji kuwa mkoa huoni hili ni tatizo na mbaya kabisa niile kutaka kuendelea kuwa rais hata pale muda wake wa kikatiba kuisha kwa kisingizio miradi haijaisha na hakuna mwingine wa kumalizia.
 
Mkuu, am not biased ila ukiwa rais kwa nje ni rahisi kujudge ila ndani ya taasisi ni tofauti. Kwa mfano, suala la kuongozewa ama kujiongezea muda (kama mnavyouaminisha umma) Je ni lini rais alitoka nje na kusimama na kutangaza kuwa anahitaji kufanya mchakato wa kujiongezea muda? Jibu HAKUNA ni here say tu, utasema wabunge walikua wanasema, na walitumwa? Hapana, siasa ina mambo mengi. Huwezi kuhukumu here says.

Nahisi kuchelea Chato huijui vema (nisahihishe kama nakosea), Na hakuna alisimama akasema ataipa hadhi ya mkoa Chato kama Chato. Tutasema pia alikua na mpango huo? Yes or No coz ni here says na speculations. Watanzania wengi tulipatwa uoga na kupigwa butwaa na aina yake hekaheka zake za uongozi, we never used to such kind of leadership kwa muda mrefu isipokuwa tu wale tulio ona utawala wa Mwl.

Kuna watu na wabunge wanasema Mama anatosha past 2030+, wengine wanasema sura yake awekwe kwenye pesa ya nchi. Je yeye kasema ama ni here says tu.

Naheshimu mawazo yako ila tujikite kwenye big issues, wanasiasa na wanaofaidi nchi hii ndio wanaotugonganisha na kutuburuza waendelee kula. It is a cycle
 
Utakuwa fisadi wewe si bure! JPM alichukiwa sana na mafisadi!
 
Mkuu nadhani tuishie tu hapa maadam Mungu alijua yote ndiyo maana leo mambo ni shwari basi tuendelee kumtukuza Mungu.
 
Sawa sawa, ila tukumbuke mambo is never shwari mkuu katika awamu yeyote ile. Struggles ni nyingi sana.
Yeah mambo siyo shwari lakini mwisho wa siku yatakuwa shwari tu. Katika hizi familia 2 kati ya Vito Corleone a.k.a Godfather na Barzini family wengi watakufa lakini Corleone family itaibuka mshindi kwasababu mtandao wao ni mkubwa sana na wapo very smart kudili na adui yao.
 
Uongo huu
 
Ukiendelea kuwa na akili ya hivi hasara ni kwa watoto wako wala wewe huwezi kupata hasara
 
Wewe dada achana na Magufuli kahangaike na Mzoga wa ndugu yako Membe pale Mikocheni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…