Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

Wakati wa JPM kila uliyemuona anafanya aliyofanya musiba ujue alikuwa kazini.

Haya yatapita na hakuna mali itauzwa.
Sio mali zake tuu, hata yeye atauzwa tuu. Hizi habari za Yono kuzuiwa ni porojo tuu, dalali wa mahakama anapopewa amri ya kuuza mali za mtu ni amri lazima atekeleze naye ndio anapata 10% yake.
 
YONO kanyang'anywa Leseni

Wengi wanaota vitu vya ajabu, na wengine mpaka huwa wanatembea, kumbe wapo usingizini. Lakini huyu wa leao amevunja rekodi, skiwa usingizini mpaka snakuwa na uwezo wa kuandika.

Tumwombe akiamka afute huu uzi wake wa usingizini. Walio karibu naye wamshauri afike hospitali. Ndoto za hivi zinaweza baadaye zikageuka kuwa ukichaa.

Mlio wazima mpuuzeni huyu muotandota. Leseni za biashara huwa hazifutwi wala kunyang'anywa kama chungwa. Hata ukifanya kosa au kuhisiwa umefanya kosa, unaandikiwa barua kujibu tuhuma. Baada ya kujibu, hata kama maelezo yako hayakukubaliwa, utapewa muda wa kurekebisha hayo makosa au kulipa kodi kama unadaiwa. Kipindi kifupi kabisa unachoweza kupewa ni mwezi mmoja. Lakini unaweza kupewa hata mwaka mzima kama.mamlaka zitajiridhisha kuwa kuna sababu ya kufanya hivyo.

Kwa hiyo hii ndoto ya huyu mwenzetu ipuuzeni kama mnavyopuuza umbea mbalimbali.
 
Tufanye hadithi yako ni kweli, sasa kwanini unafurahia "uhuni wa genge" dhidi ya utawala wa sheria?

Ninyi ndio wale mlioshabikia mobocracy wakati wa hayati Magufuli - task force, tume, maelekezo toka juu, mauaji, ukatili nk nk

Nadhibitisha sasa kwamba Musiba amestahili adhabu aliyopata. Aliwahi kutamka haheshimu utawala wa sheria sasa wacha mjue zip na kuna nguvu na uwezo wa kuitekeleza.
Vema watu wajue na kuheshimu haki zetu; sheria zilinde na kuhifidha haki za watu dhidi ya wahuni.
 
Kakojoe Ulale Uendelee na ndoto zako za Alinacha! Hao Sukuma Gang wana nguvu kuliko Mahakama? Unajua miimili ya Serikali inavyofanya Kazi? Membe amekuwa Mtumishi wa Serikali na Jasusi kwa miaka zaidi ya 20. Kuna nani wa kumtumia vitisho mtu ambae ana uhasili wa Kijeshi Kiitelijinsia na Combat Experience? Hao Sukuma Gang unaowasema wana nini ambacho Serikali ya Tanzania iliyopo madarakani inashindwa kufanya inachotaka??Unaijua Nguvu ya Serikali iliyopo Madarakani katika nchi yeyote?? Kakojoe ukalale narudia tena. YONO anafanya Kazi na TRA baada ya MAJEMBE AUCTION kama Dalali wa Wakepa Kodi ! Aiingii akilini unaposema eti Leseni yake imefungiwa for 6 months akichunguzwa kama analipa kodi😂😂. Sharti la Kwanza Uwezi fanya Kazi yeyote na TRA ata kama ya kufagia Vyoo vyao bila kuwathibitishia kama wewe ni mlipa kodi mzuri.
Membe anafanya sikukuu baada ya Magufuli kufariki. Hii kesi kwa nini hakuifungua wakati wa Magufuli.
Musiba alikuwa anafichua corription kama ilivyokuwa fasheni wakati wa Awamu ya Tanu.
 
Membe anafanya sikukuu baada ya Magufuli kufariki. Hii kesi kwa nini hakuifungua wakati wa Magufuli.
Musiba alikuwa anafichua corription kama ilivyokuwa fasheni wakati wa Awamu ya Tanu.
Mnapoteza muda badala ya kushinda hapa Jf kupiga makelele mngekuwa mnajichanga huko kumlipia Musiba deni lake.
 
Membe anafanya sikukuu baada ya Magufuli kufariki. Hii kesi kwa nini hakuifungua wakati wa Magufuli.
Musiba alikuwa anafichua corription kama ilivyokuwa fasheni wakati wa Awamu ya Tanu.
Angalia tena kumbukumbu zilizoko utaona Membe alifungua lini kesi.

Je hukumbuki Musiba alisema haiogopi Mahakama sababu alikuwa na mtu mwenye kuwaamrisha majaji?
Alisema lini? Magufuli alikuwa hai au mfu?
Unafikiri kiburi cha kutamka hayo kilitoka wapi? Kwa nini alitamka hayo maneno?
 
Sema wewe kumbukumbu ilikuwa lini.
Ile makala ya Tanzanite nadhani ilikuwa inasema Membe ame-redirect certain funds,akazipeleka kuendeleza jingo lake la Uchaguzi. Sidhani kama Musiba alimuita Membe mwizi. Na Membe alikuwa amekwisha back down. Isipokuwa ghafla akapata ujasiri mpya,no doubt after drinking many glasses of wine.
 
Back
Top Bottom