Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

Mara ya kwanza Magazeti ya Musiba yalikuwa yanachapwa kwenye mitambo ya TISS then baadaye ikanunuliwa mitambo binafsi.
Ndiyo maana Musiba anakuwa na Jeuri,Membe kaingia cha kike.
Musiba ana Back up kubwa nyuma yake!
 
Mimi naomba sana Serikali au CCM wampe huyu mtu kazi kubwa ya kufanya. Akili kubwa huwa haiwezi kukaa idle; tatizo ni hilo
 

Unaipa kampuni kazi hii baada ya hapo unaifuta
 
Japo sitetei aliyokuwa anayafanya msiba ila b9 wametumia hesabu zipi yaani maneno tu mtu adai b9 [emoji1]

Hizo chache sana, mtu aliyekuwa anatarajiwa kuwa rais wa nchi.

Tena waziri kwa miaka mingi, achilia mbali wizara ya mambo ya kigeni.

Uanjua upana wa jamii iliyokuwa inamuamini katika nyanja tofauti.

Hiyo ni hela ndogo sana
 
Wewe ni kibwengo
 
umeandika ujinga hujui procedure za udalali bali umeandika ujinga mtupu kwa taarifa yako huyo yono hata akiwa hana lessen membe anaweza kwenda mahakamani hata jumatatu akabadilishiwa dalali na mali za musiba zikauzwa kama ilivyopangwa wadanganhe wajinga wenzio hapo lumumba ambao hawana elimu.
 
Hao Sukumagang kama wana nguvu kiasi hicho walishindwa nini kumlinda mungu wao hadi kufikia hatua ya kulambishwa sakafu pale kwake Chato?
 
Nadiriki kusema Membe ni mhuni tu na hata hiyo kesi ni ya ukanjanja tu,wangapi wamechafuliwa na wakalipwa hiyo bilioni 9, Membe ni nani nchi hii, kifupi hatalipwa hata ndururu moja.
 
Hawa sukuma Gang ni viumbe wa ajabu sana,walishindwa kumsaidia mjinga mwenzao Musiba kukata rufaa sasa imefika wakati wa kukazia hukumu ndiyo wanakuja na tungo za kipuuzi mitandaoni wakifikiri zitamnusuru huyo mtukanaji. Mungu wabariki vijana wa kazi Yono watimize wajibu wao kuuza vikorokoro vya mpuuzi cyprian.
 
Mwenye picha ya nyumba ya cyprian musiba itakayopigwa mnada aiweke hapa kama ikinifaa niipandie dau.
 

Utadanganya wajinga. Kwenye execution of decree mahakama ndio inayotafuta madalali wake wa kupiga mnada vitu sio mdai. Punguza utapeli.
 
Chawa wa Musiba tangu Membe awatolee nje msamaha mnahaha Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…