Bernard Kamilius Membe, aingia 18 za Genge la Cyprian Musiba. Nini tutarajie?

Je, hawa watu wenye uwezo wa kuingilia Mahakama na Mahakama ikaufyata, watashindwa nini kumchezea figisu Samia ili asigombee 2025?

Hii imetoa nafasi kwa Samia kujua wale wanaompinga ambao anaambatana nao.
Mihimili yote iko sawa kwa juu ila mmoja umechimbiwa chini zaidi "Magufuli"
 
Hali ni ngumu kwa Musiba by the way, mkuu wa genge la musiba hawezi kumzidi Ndugai ambapo sasa yupo huko maporoporoni, Serikali na dola ni kitu chengine tulia uone kama musiba anatoa hela ama hatoi, sasa kama yeye ana genge mbona aligaragara sana kumuangukia amsamhehe
 
Dah,not unexpected,Musiba alitumwa na ofisi (si Sukuma Gang),kufanya aliyofanya,kwa hiyo ilibidi ofisi isimame upande wake.Nilidhani TISS ya Samia itambwaga mtu wao,dah,wako nae sambamba.

Camilius wewe upo nje ya mfumo,nyamaza na wewe usije ukawekewa mizengwe ukanyang'anywa kila ulichonacho.Soma alama za nyakati.
 
Mkuu unajua ninakuamini na unajua kwamba najua.

Sasa hii taarifa imeustua sana umma wa wapenda haki.

Hebu fukua fukua huko tupate updates zaidi.

Je mshika rimoti amekwama safari hii?
 
Musiba alikuwa ni pro Burigi,so nadhani unafanya utani tu. Hayupo mwenye nguvu wa kuioindua Hadi mahakama ili kumsapoti bwana huyo aliyewasema Hadi wastaafu
 
Kwani Tanzania nzima dalali ni Yono tu?
 
Uko wapi mnada wa Mali za Ta Musiba?

Yu wapi Jasusi Membe?

Ni mbwembwe tu hakuna kitu chochote kinaendelea hapo,ni wajinga mlidanganywa kifara fara Musiba nipo nae anakula konyagi hapa.
Majasusi ni weu kabisa wanapotosha umma.
 
Uko wapi mnada wa Mali za Ta Musiba?

Yu wapi Jasusi Membe?

Ni mbwembwe tu hakuna kitu chochote kinaendelea hapo,ni wajinga mlidanganywa kifara fara Musiba nipo nae anakula konyagi hapa.
Majasusi ni weu kabisa wanapotosha umma.
Unakesha ukisali kwamba Simba wa Rondo, Membe amsamehe Musiba. Umebugi....Musiba jino limevunjikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…