Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Mkuu moja ya vitu anavyojivunia Mbowe ni kuwa na wafuasi aina ya Salary slip

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Ni wabishi na supporter wa kila ujinga wa cdm iwe kweli au uongo na ndio wanaotumika kusambaza upumbavu humu jf bila hata ya kupima ukweli. Ni kama wale wa ccm tu. Wanatakiwa kujifunza kufikiri kwa akili zao lakini wapiiiiii. Juu wametoa zao wameweka za Lema na Lisu zoa wameweka matakoni. Chama kina yumba sababu ya qatu kama hawa. Kulikuwa na sababu gani kumuingiza lowasa na watu wake kipindi kile? Leo wapo wapi.? wametutoa sisi waona mbali.
Tuombe Mungu hili suala lisiwe la kweli. Kama ni kweli, naona mwisho wacdm baada ya uchaguzi, kitakuwa kama tadea tu.
 
Pesa za Manji zinapagawisha Mbowe. Membe na Manji wanajitahidi sana wapate nafasi ya kuwa Rais. Mtu yeyote kwenye arufu za pesa wanatafuta hizo pesa. MWAMBA VIPI HAPO
The matter is already set. The computers in the so called Tume ya uchaguzi has been set to read that Magufuli is a winner by more than 80%. Be Membe or Lissu thats the fact. Myadvice is to think what will be the aftermath of that announcement at that time. What opposition is gonna do. Pre-plan your cause of action now. If need it be, be proactive. Either all important Cdm cadres to vie for mp position Lissu included or if Membe will easy getting more mp, just put him there. It is true that Lowasa helped much on that.
 
Why don't you call him, and ask him to join UDP, since UDP is an opposition party as well? Then he can implement what you are trying to address in here. Or your science works only in certain political parties?
Personal!
 
In terms of ballot results, vibrant inept politics isn't synonymous to carefully planned election victory. Be careful
 

Duuu mkuu, hata kama ni mahaba sio kwa maelezo haya.
 
Ingizo jipya ulikuwa hujazaliwa, hayo tuachie vijeba.
 
Hoja ya msingi ni hiyo moja tu, usiipindishe kukidhi matakwa yako.

CCM kuangushwa chini safari hii hailazimu pawepo na hayo unayoyawazia na kuyatamani wewe.

Vyama vya upinzani vipo viwili tu sasa hivi, sioni ugumu wowote wa kukubaliana katika baadhi ya mambo ili kuikabili CCM hii. Muungano wa vyama hauna lazima yoyote, na kwa hakika nawashauri wasifanye hivyo kwa sababu hiyo ndiyo njia itakayowadhoofisha.
 
Kufanya kosa si kosa. Kosa ni kurudia kosa. Kumbuka Wahenga walisema, Usiache mbachao kwa msala upitao.
 
sure chadema ina watu makini ambao wameumia kwa ajili ya chama ,membe ndio anafaa but sio wakati wake mwaka huu kugombea uraisi pitia chadema ila ni wakati wakuwapa mbinu za ushindi chadema lakini kua waziri mkuu atafaa au muandaeni kama mtu wa pili endapo mgombea wenu atawekewa vikwazo, hata hivyo inawezekana mkikamata dora basi mgombea wenu akaaa miaka mitano then akaingia yeye ili kumpumzisha kulingana na afya yake but chedema mkifanya makosa hapa kidogo mwafa
 
Hata wakati wa Lowassa hadithi zilikuwa hizi hizi. Mnadhani tumesahau. Ngoja wakosee wamteue Membe uone jinsi wapiga kura wa upinzani watakavyokuwa wachache. Kwenye hili sisi wafuasi ndio wenye maamuzi na sio vinginevyo.
Yah right. Pamoja na rafu zote zile Magufuli aliambulia 58 %. Sasa sijui unawabeza kwa lipi hasa.....!!?
 
Subirini muwekewe kapi tu,hamna ubavu wa kupinga
 
Siyo kweli kwamba CCM inaungwa mkono na hayo magroup uliyoyataja .... Nguvu yao iko kwenye Police, Tume na UWT.

Teuzi zinazo endelea sasa zina maana yake..!!
 
Yah right. Pamoja na rafu zote zile Magufuli aliambulia 58 %. Sasa sijui unawabeza kwa lipi hasa.....!!?

Chama kama chama kingeweza kupata hata zaidi ya hizo % bila hata huyo muhuni wa ccm.
 
Kufanya kosa si kosa. Kosa ni kurudia kosa. Kumbuka Wahenga walisema, Usiache mbachao kwa msala upitao.
Kwi kwi kwi eti "kuwa waziri mkuu atafaa".....
Siku moja Mimi na mwanangu mwenye miaka 5 tulipita pale ilipo BOT,dogo akaliangalia jengo pacha kwa muda mrefu,baada ya kupita wiki na wikiendi moja mchana akanieleza kuwa ameota nyumba yetu tumeibomoa na kuwa km lile jengo pacha....
Nikacheka sanaaaaaa,Almanusra NIUNGUZE Al Kasus ninayoitembeza mitaani hapa Tandale!!
 
Mkuu hayo ndio maneno ya kejeli za wafuasi vi
Siyo kweli kwamba CCM inaungwa mkono na hayo magroup uliyoyataja .... Nguvu yao iko kwenye Police, Tume na UWT.

Teuzi zinazo endelea sasa zina maana yake..!!
Mkuu, hizo ndizo kejeli na matusi kutoka kwa wafuasi vipofu na viziwi wa cdm wasiopenda kuambiwa ukweli hata pale viongozi wanapo kosea. Sio kwamba nawadhiahaki ccm ila nawaonea huruma hao cdm wasiopenda ukweli. Ni nani asiyejua madhara ya kuyumba kwa sera na misimamo ya hiki chama hasa kipindi cha uchaguzi wa 2015? Napenda upinzani wenye misimamo hasa kabla ya kuwaalika kina lowasa na wenzake.
 
Siyo kweli kwamba CCM inaungwa mkono na hayo magroup uliyoyataja .... Nguvu yao iko kwenye Police, Tume na UWT.

Teuzi zinazo endelea sasa zina maana yake..!!
Hilo bandiko leo wanasema limeandikwa na ccm. Hawahawa wanaosemwa kuwa hawajui, hawajitabui, hawajasoma na mbumbu. Siku zote, ukiwashinda kwa hoja cdm, hayo ndio matusi na kejeli zao bila ya kufikiria kile kinachoandika. Ni watu ambao hawataki challenge. Ukiwa unahoja ya kuwashinda, utaitwa kada wa kijani, nzi wa kijani, msaliti, mbumbu. Sasa najiuliza, kweli wasiosoma na wajinga wanaweza kuandika kiingereza?
 

CHADEMA waachane na Membe. Huyu ni Lowasa mwingine. Aingie CHADEMA kama mwanachama wa kawaida. URAIS 2020 tunaenda na Tundu Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…