Tetesi: Bernard Kamilius Membe Meets CHADEMA top officials, The 2020 election tops the agenda

Shortlist the just to go to....? Consume financially? Tumieni kiswahili jamani. Hamna aibu katika kutumia kiswahili na mtatufikia wengi na mtaepuka kuharibu lugha ya wenyewe.

Amandla...
 
Sitarajii cdm wafanye upumbavu na kurudia maamuzi ya kijinga yakumpitisha Edward Lowasa 2015.

Membe anaweza kuwa mwanachama lakin ni marufuku ugombea wa urais vinginevo asubirie 2025.
 
Ma lumumba yanapima upepo...endeleeni tu mtajua kua hamjui
 
Ni kweli kabisa

Hiyo nafasi anastahili mpinzani mmoja tuu, naye si mwingine ni Shujaa Tundu Lissu, ili apambane na huyu Jiwe ambaye, utawala wake tumeshuhudia akitumia vyombo vya dola vibaya kwa kuuminya upinzani ili usifurukute
Je ikitokea kwa sababu za "kiufundi" Tundu lisu akaenguliwa kwenye kinyang'anyiro nini itakuwa mstakabali wa CHADEMA kwenye suala la mgombea urais? maana kumbuka hakutakuwa na room ya kuweka mgombea mwingine.
 
Shortlist the just to go to....? Consume financially? Tumieni kiswahili jamani. Hamna aibu katika kutumia kiswahili na mtatufikia wengi na mtaepuka kuharibu lugha ya wenyewe.

Amandla...
Nimeeleka sisahihishi
 
Eti.... Magufuli is admired by many in the world..''' πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Urais sio nafasi ya watu wasio walemavu, bali urais ni kazi ya mtu mwenye akili timamu. Hapo nilipoona tu umesema eti hawezi kutembea vizuri, ndio nimejua ww ni mpuuzi fulani, ndio maana unamtetea Membe huyo mzee muhuni toka ccm.
 
Mimi sio mwanachama Wa chama chochote, ila alipo lissu nipo.Huyu ndo masia wengine tupa Kule, eti membe Leo anadai tume huru ya uchaguzi.Maajabu...
 
Apart from a sympathiser vote and barren political noise, unlike Membe, Tundu Lissu does not have political magnetic mighty required to pierce, penetrate and divide CCM into political debris. You need a presidential candidate who is potentially able to undercut and send mourning undercurrent gigs into CCM.
A credible party would seriously consider its post 2020 elections going concern stand hinging on
  1. the number of votes bagged,
  2. the number of seats won,
  3. the number of councils won,
  4. the amount of guaranteed subventions bagged.
Lissu presidential candidature implies sacrifice to Chadema's post 2020 going concern variables.
it is all about science rather than ideological feelings
 

Hiyo nguvu huyo Membe kaikosa akiwa huko ccm ndio anataka ailete upinzani? Kikao kilichomkata huko ccm hawafiki watu 10, na hajafanya lolote. Sasa huku upinzani atapata wapi nguvu, wakati wapinzani hawana mbeleko ya vyombo vya dola? Aende UDP akaonyeshe hizo nguvu zake.
 

There's no doubt that this piece of article is prepared at Lumumba CCM office as part of their propaganda and plans to confuse the followers and members of the main opposition political parties...

One can easily discover this through stupid errors and mistakes in their writing style....

You can see in the first paragraph the main opposition party is written "CHADEMA". The next paragraph, the opposition name of the political party changes to " CDM"....

So, one can ask what is CHADEMA and what is CDM? And in the Political Party Registrar book, can we find any political party with the name "CDM"??. Defenetely, nothing....

So, this is simply a miscalculated propaganda....!!
 
Another great mistake, if we could not learn from 2015 election, we will never learn

Mbowe should never trust Membe in either ways
 
I concur with you. Tundu Lisu is vulnarable easy to be spoiled. CCM and the system prepared to face Lisu. They know everything about him.

It is also easy to tell voters that Lisu is a puppet, agent of big powers.

On the other side Membe is much more respected by both Chadema and CCM members not forgetting non partisans.
 
What are you trying to imply? That not being deemed a presidential material by a handful of CC members automatically makes you a redundant/incompetent.

I guess the primaries are the determinants of the popular view pertaining who fits better as a flag bearer come october.

Lissu's appointment as the Vice chair should alarm you that the party hierarchy view him as the future prospect for the party leadership alongside JJ Mnyika. Thus your claims are baseless

Mind you the article claims the house was divided concerning Membe's question. Implying a score of CC members, object the move. However, if lissu was not a perfect alternative I assume they would have garnered behind Membe's candidacy.
 
Muhimu ni kujenga chama kwa kupata mgombea atakaeweza kushindana na jiwe na kumpunguzia kura, pia kuingiza wabunge wengi bungeni.
Lisu syo rahisi hivyo kurudi maana sidhani kama wauaji walotaka kumtoa roho wanatamani wamuone.
Pia upinzani definately unataka kuungana ni fursa nzuri kwa membe,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…