Uchaguzi 2020 Bernard Membe anaongea lugha rahisi na anaeleweka kuliko Lissu

N
Nani au mtanzania gani asiyejua Luna ujenzi wa Sgr, ununuzi wa ndege bwawa la umeme n.k mbona kila siku vinarudiwarudiwa na jiwe a.k.a kichaa tena kwa MDA wa miaka Mitano hamuoni! Ila lissu kusema alivyopigwa risasi ndani ya siku kadhaa imekuwa kurudiarudia? Ndio maana nakuambia kama haumwelewi lissu ni uamuzi wako tu wa kijanga ambao hautabadili chochoteπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa hiyo wote wawili wako level mmoja, ndio unachotaka kusema, au?
 
Jamani tuacheni utani.. hakuna anaejua kuelewesha watu kama Tundu Lissu. Hapo mnataka kututania. Ndio maana mwenzenu wananchi wanajazana kwake na kumsikiliza vizuri sana. Kila mtu akitoka kwa Lissu somo limeeleweka.

#NiYeye #KuraKwaLissuKulaKwaMataga
 

Sasa umemsikiliza huko kote anakopita ukasikia anaongelea risasi? Wewe bwana labda ni akili ndogo, hivyo huwezi kumuelewa Genius Lissu.
 
Membe yupo vizuri sana. Nimeshangaa lissu kuongelea mambo ya zao la pamba kiwanja cha furahisha. Wote waliokua wamejazana pale siamini kama kuna mkulima wa pamba. Nadhani alikua anaongea mwenyewe.

Wengi pale ni jobl
Lindi mjini napo kuna mashamba ya korosho?Kama hayapo kwa Nini unaona sawa kwa Membe kuzungumzia swala la kilimo mjini Lindi na haramu kwa Lisu kuzungumzia kilimo akiwa jiji la Mwanza ambalo limezungukwa na wakulima wa pamba?,na viwanda vya kuchakata pamba vipo jijini Mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…