Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Kifo cha Upinzami Rasmi baada ya Chadema. Mwaka 2020 viti vya Ubunge wapinzani mtavisikia kwenye radio Mbao tu nakuambia. Mmechukua hili kapi Membe kama Chadema walivyochukua makapi Lowassa na Sumaye. Ukachero huwa haasi hata kidogo maana akiasi kwa kumaanisha anajua matokeo yake. Wajinga ndiyo waliwao.