Bernard Membe apokelewa rasmi ACT–Wazalendo. Atoa ahadi kemkem endapo watashika madaraka

Bernard Membe apokelewa rasmi ACT–Wazalendo. Atoa ahadi kemkem endapo watashika madaraka

Kifo cha Upinzami Rasmi baada ya Chadema. Mwaka 2020 viti vya Ubunge wapinzani mtavisikia kwenye radio Mbao tu nakuambia. Mmechukua hili kapi Membe kama Chadema walivyochukua makapi Lowassa na Sumaye. Ukachero huwa haasi hata kidogo maana akiasi kwa kumaanisha anajua matokeo yake. Wajinga ndiyo waliwao.
 
Mara awasalimie UWT mara aishukuru kamati kuu ya CDM. Hivi ata alijua yupo kwenye mkutano wa chama gani kweli.
UWT huenda alimaanisha Usalama wa Taifa au tuseme ndiyo BAWACHA
 
Tuna safari ndefu sana katika Idara ya kuandaa vipepeo..nafikiri kuna walakini kwenye screen ya vetting na ndiyo matunda yake haya!
Mkuu hapana. Kama kazi alifanya sana tena kubwa kubwa za kutisha. Uchu wa mafaraka tu. Hawatosheki hata na pesa walizo nazo maana huyu ana mahotel kusini na DSM na vitega uchumi kibao lakini badooo
 
Lissu na Membe wote hawatokuja wawe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Huku bara sijaona wa kumtikisa Mh. Rais ila kwa upande wa visiwani kutakuwa na mchuano mkali mno kwa bwana Mwinyi..

Tena kama kuna eneo ambalo CCM itashinda Saa 3 asubuhi tu basi ni huko ' Isles ' Mkuu, kwani Wazanzibari hawataki Kuongozwa na Mtibiwaji.
 
usajili pekee wa maana waloufanya ACT ni maalim seif maana huyu ana wafuasi wake direct bt huyu maembe hana lolote zaidi ya kubwabwaja na kujimwambafy

Na kama kuna ' Dhambi ' ambayo ilianza na inaendelea ' Kumtafuna ' Membe ni ya Dharau, Sifa, Nyodo na Kupenda mno ' Kujimwambafai ' Mkuu.
 
Anatuzuga tu hana lolote
Membe, Zito na Mwalimu Seifu Sharifu are CCM Agents. CHADEMA be carefull. Recall, Murema's activities from day one when he embraced opposition.
Recall, Mwalimu Seifu - to be sworn as a president soon (2015 - 2020: that was soon!)
Recall, Zito kabwe sitting in parliament the day Our president addressed the house for the first time.
CCM is the only party which is real, other parties are also CCM but yhey are not real.

Membe started earlier by calling ACT - wazalendo women club UWT! Recall those mistakes like that, were repeated many times by Lowassa when he defected to CHADEMA. Those are precursors that after Membe has accomplished the assigned task - the Nyumbani kutanoga.
 
Kachero fanya kazi vizuri ukimaliza rudi chamani kwetu. Chezea sisi wewe
 
UWT huenda alimaanisha Usalama wa Taifa au tuseme ndiyo BAWACHA
Haya kama unaona alimaanisha ivyo unavyodai ila alikuwa kwenye mkutano wa ACT sasa BAWACHA wanaingiaje. Ni blunder yeye mwenyewe alijua na akaomba msamaha.

Unaweza msamehe kwa hilo la UWT mazoea yana tabu zake; lakini kuita kamati kuu ya ACT wazalendo ni ya CDM ndani ya mkutano wao palepale walitakiwa kumshusha.

It’s a disasterous day poor Membe. Haya kila la kheri.
 
CCM tunajielewa wewe .Wapiga kura wetu hawako mitandaoni wako mitaani na vijijini.Ndio maana hata midahalo mnayotaka ya wagombea uraisi huwa hatuitaki sababu wapiga kura wetu sisi wengi hawana TV.


Hao ndio wapiga kura wenu ambao hata uwezo wa kumiliki TV hawana unakuja kujisifia hapa.
 
Mkuu hapana. Kama kazi alifanya sana tena kubwa kubwa za kutisha. Uchu wa mafaraka tu. Hawatosheki hata na pesa walizo nazo maana huyu ana mahotel kusini na DSM na vitega uchumi kibao lakini badooo
Sina neno katika hilo...kila mtu ni mwizi isipokuwa tunatofautiana level, nachohoji ni kwanini anataka kuaminisha umma kwamba kuwa kwake pai(tena mbobezi kama anavyopenda kutambulika) ni sifa iliyotukuka inayomfanya apewe zawadi ya nchi?
Kwanini si mvumilivu?
Kwanini yeye pekee tu ndiye anahisi ni mtu wa kuonewa muda wote?
Wakati wa utumishi wake hakula kiapo cha ofisi na utumishi kuttotoa yasiyotakiwa?
Ikiwa ameonesha udhaifu asubuhi hii mapema akipewa nchi si atairudisha kwa wakoloni?
Kwanini asiweke akiba ya maneno?
 
Yaani achana hata na Lowassa huko mbali

Mimi kila nikimuangalia A. Kinana kwa jinsi alikua well connected na ushawish wake ndani ya chama na amerudisha mpira golini

Nabaki nawahurumia tu "wafuasi" wa ACT kwasababu Zitto na Membe sio watakaopoteza hawa wawili wanajua wanachokifanya na wanajua kabisa hawana ubavu wa kushindana na Chuma.

Wanavuta muda tu watarudi " To kiss pope's ring"
Zitto na Membe wanafanya maigizo tu hapo, wanajua kazi wanayofanya.
 
CCM tunajielewa wewe .Wapiga kura wetu hawako mitandaoni wako mitaani na vijijini.Ndio maana hata midahalo mnayotaka ya wagombea uraisi huwa hatuitaki sababu wapiga kura wetu sisi wengi hawana TV.HATUWEZI UZA SURA kwa wenye TV ambao hawafiki hata asilmia tano ya wapiga kura !!!

Na watanzania wa kawaida hata awe na TV hujiaangalilia movie sio mambo ya siasa.CCM hatuwezi poteza muda kuuza sura kwa wenye TV majumbani kwanza wengi hata kupiga kura huwa hawaendi wanakaa nyumbani wanafuatilia tu kwenye TV

Mitandaoni wapiga kura hamna wako wachache sana

Sio kwamba hamtaki, ila hoja za kushindana kisiasa ndio hamuziwezi. Kama kwenye TV Ni kuuza sura, jiwe kila siku yuko mubashara kwenye Tv, je amepata shilingi ngapi mpaka sasa kwa hiyo biashara ya kuuza face? Yeye ndio rais ameonekana kwenye TV ukilinganisha na marais wengine wote kwa pamoja.
 
Sina neno katika hilo...kila mtu ni mwizi isipokuwa tunatofautiana level, nachohoji ni kwanini anataka kuaminisha umma kwamba kuwa kwake pai(tena mbobezi kama anavyopenda kutambulika) ni sifa iliyotukuka inayomfanya apewe zawadi ya nchi?
Kwanini si mvumilivu?
Kwanini yeye pekee tu ndiye anahisi ni mtu wa kuonewa muda wote?
Wakati wa utumishi wake hakula kiapo cha ofisi na utumishi kuttotoa yasiyotakiwa?
Ikiwa ameonesha udhaifu asubuhi hii mapema akipewa nchi si atairudisha kwa wakoloni?
Kwanini asiweke akiba ya maneno?


Hata wewe katiba ya nchi inakupa haki ya kuchagua na kuchaguliwa,sasa kosa lipo wapi hapo? Mpeleke kwenye sanduku la kura ukamshinde huko.

Yesu wa Lugola na team yake wamewakaririsha utopolo tu.
 
Back
Top Bottom