Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Nime screenshot post hii naihifadhi kwa matumizi ya baadae.Juzi niliongea na mtumushi wa Mungu akaniambia kuhusu nguvu ya damu...Lissu alivyopigwa risasi Dodoma alipoteza damu yake 40% hadi madaktari bingwa wa Kenya walisema huu ni muujiza kuwa hai...Sasa watu wanaotoa kafara za wanyama na watoto wa kuwazaa hawawezi kumshinda Lissu kwenye ulimwengu wa kiroho maana Lissu katoa damu yake kama Yesu...CCM mwisho wenu umefika damu ya Lissu inaenda kuwakomboa Watanzania kwenye kivuli cha wachawi na washirikina..tafakuri