Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Yaani Membe sio?Nahangaikia nchi yangu ipate kiongozi safi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani Membe sio?Nahangaikia nchi yangu ipate kiongozi safi
Twende na Membe ilikuwa ni kuwagonganisha ccm wao kwa wao, haikuwa nia ya dhati kutaka Membe agombeeHahahaaaa
Yaan binafsi nashangaa likuwa kila kukicha twende na membe
Ila jamaa Hana mvuto kabisa
Angepumzika tu wazeeshane na mkewe
Kwanza maringo yamemzidi
Low energy Membe ndo kiongozi safi?
Membe kaongelea ishu gani zaidi ya kutoa ahadi ya kuwaachia uamsho?Unataka wapayukaji?
Urais ni zaidi ya kupayuka payuka na kuongea kwa kufokafoka na mahasirahasira hadi kutishia kupiga wanawake.
Urais ni kuarticulate mipango yako ya maendeleo na ukaeleweka kirahisi
Siyo Magufuli wala Lissu wenye kuongea issues zamaendeleo ua wananchi kama Membe
Heee amefika huko?Membe kaongelea ishu gani zaidi ya kutoa ahadi ya kuwaachia uamsho?
Kama Chadema mnaanza kumshambulia mgombea wetu, basi nendeni na Lissu wenu mkashinde huo uchaguzi sisi tunasonga na Membe wetu tuje tuone!
Kwanza tunahitaji kujikita huku Tanzania bara, we have nothing to lose!
Zanzibar tuna uhakika wa kuingia serikalini ama kwa kushinda au kwa kuingia kwenye serikali ya umoja wa Kitaifa!
Kwa hiyo kila mtu ashinde mechi zake!
Membe tunamkubali, ni smart, anajua kujenga hoja, anajua siasa na yuko sober.
Tunakwenda na Membe!

Unataka wapayukaji?
Urais ni zaidi ya kupayuka payuka na kuongea kwa kufokafoka na mahasirahasira hadi kutishia kupiga wanawake.
Urais ni kuarticulate mipango yako ya maendeleo na ukaeleweka kirahisi
Siyo Magufuli wala Lissu wenye kuongea issues zamaendeleo ya wananchi clearly kama Membe
Membe kaongelea ishu gani zaidi ya kutoa ahadi ya kuwaachia uamsho?
..mtoa mada ni pro-jpm.
..fuatilia mada zake za zamani utaona anavyomkandia TL.
..labda ameona BCM ni tishio ndio maana akaanzisha mada hii.
Nyani Ngabu (Muanzisha Mada) mbona sio Chadema MkuuKama Chadema mnaanza kumshambulia mgombea wetu, basi nendeni na Lissu wenu mkashinde huo uchaguzi sisi tunasonga na Membe wetu tuje tuone!
Kwanza tunahitaji kujikita huku Tanzania bara, we have nothing to lose!
Zanzibar tuna uhakika wa kuingia serikalini ama kwa kushinda au kwa kuingia kwenye serikali ya umoja wa Kitaifa!
Kwa hiyo kila mtu ashinde mechi zake!
Membe tunamkubali, ni smart, anajua kujenga hoja, anajua siasa na yuko sober.
Tunakwenda na Membe!
Nyani Ngabu (Muanzisha Mada) mbona sio Chadema Mkuu
Akipenda chongo huita kengeza. Membe hamna kitu kwenye kuongea na kufanya watu wavutiwe kuendelea kumsikiliza.Membe yuko vizuri sana
Na mkianza kumshambulia Mgombea wetu basi tutataka kila mtu ashinde mechi zake
Lissu hamfikii Membe kwa kuongea Issues zinazomgusa mwananchi
Kama mnataka ma MC basi kamchukueni MC pilipili ndo awe mgombea, Sisi tunakwenda na Membe!
Lissu akienguliwa heri mbowe, nyalandu au Zitto ,Membe hana mvuto kabisa
Akipenda chongo huita kengeza. Membe hamna kitu kwenye kuongea na kufanya watu wavutiwe kuendelea kumsikiliza.
ahahaha, akipitiliza je?kumbe...basi mpigeni risasi mgombea wenu kusudi naye abebwe na risasi!.
Huyu jamaa, hana kabisa mvuto akiwa jukwaani.
Siasa kwake naona si jambo alilonalo kiasili.
Anajitahidi sana kuongea na kudondosha vibwagizo akiwa jukwaani, lakini wapi! Hamna kitu kabisa.
Maneno hayamtoki mdomoni kiulaini. Linganisha Lissu akiwa jukwaani na huyo Membe, ni usiku na mchana.
Sauti haina mvuto. Hana msamiati wa kutosha wa kuchotea vibwagizo kuendana na hadhira iliyo mbele yake.
Anachokiweza ni vijembe vya kimafumbo huko Twitter.
Let's cross that bridge when we get there. Kampeni hazijaanza! Kwanini watu wasisubiri kampeni zianze, wasikie hizo hoja na policy statements? Ushabiki sana, logic behind!Membe kaongelea ishu gani zaidi ya kutoa ahadi ya kuwaachia uamsho?