Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Hatoki mtu hapa kwenye kinyang'anyiro cha Urais. Septemba 15 kinaanza kimbunga kumbakumba

[SUB]AIidai kuna Tsunami ya wafuasi wanakuja kujiunga na chama chako kupata. Sasa ni kimbunga kisichojulikana. Nimkumbushe tu kwamba bado hatujaona hata mjumbe wa nyumba 10 akimfuata huko aliko. Nina hakika uongozi wa ACT wanajua wameingizwa kichakani.[/SUB]
 

Hao walinzi wake wanatia mashaka
 
Bahati nzuri Membe ana sura nzuri Mashaallah lau kana sura yake imeanza kusawajika na kupoteza nuru siku za hivi karibuni ila Bahati mbaya sana Membe huyohuyo hana mvuto kabisa wa kisisasa.

Jina lake lilivyokuwa linavuma kwa siku nyingi ni tofauti kabisa na mtu mwenyewe alivyo kwa sasa. Inawezekana huyu siyo mwanasiasa kabisa ila mtu wa kukaaa ofisini tu . Hata kama kuna mtu aliyembeba miaka yote hiyo katka utendaji wake ninampongeaza sana.
 
Mgombea wa kiti cha urais kupitia ACT wazalendo ameanza kuonja shubili ya kujinadi kisiasa.

Hii imetokea mara tu baada ya kusambaa habari kuwa amekataa kabisa kuungana na cdm ili kumsimamisha mgombea mmoja wa kiti cha urais...


Zitto ameshindwa kabisa kutafuta mimbari nzuri yenye hadhi?
 
Yani ukiambiwa Member ni Senior wa TISS huwezi kukubali kabisa ni kama leo ukiambiwa kidogo tu Mrema awe Rais 1995
 
Kuna game linatengenezwa ambalo ndiyo kaburi rasmi ya CCM before 28th October.

Stay turned... kauli ya Lissu Zanzibar na ukimya wa ACT si mwa bahati mbaya
 
Kuna game linatengenezwa ambalo ndiyo kaburi rasmi ya CCM before 28th October.

Stay turned... kauli ya Lissu Zanzibar na ukimya wa ACT si mwa bahati mbaya
Awapi 🚶
 
Kichwa cha mada kinavutia kusoma, sasa ingia ndani!
 
Hicho kimbunga kilishachelewa kwa kifupi Membe ameshajifia kisiasa hata kura 100 sijui Kama atapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…