Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Hatoki mtu hapa kwenye kinyang'anyiro cha Urais. Septemba 15 kinaanza kimbunga kumbakumba

Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Hatoki mtu hapa kwenye kinyang'anyiro cha Urais. Septemba 15 kinaanza kimbunga kumbakumba

[SUB]AIidai kuna Tsunami ya wafuasi wanakuja kujiunga na chama chako kupata. Sasa ni kimbunga kisichojulikana. Nimkumbushe tu kwamba bado hatujaona hata mjumbe wa nyumba 10 akimfuata huko aliko. Nina hakika uongozi wa ACT wanajua wameingizwa kichakani.[/SUB]
 
Mgombea wa kiti cha urais kupitia ACT wazalendo ameanza kuonja shubili ya kujinadi kisiasa.

Hii imetokea mara tu baada ya kusambaa habari kuwa amekataa kabisa kuungana na cdm ili kumsimamisha mgombea mmoja wa kiti cha urais.

Hapa chini ni moja wapo ya mkutano yake ambapo yupo pekee yake akiwa amezungukwa na bebndera za chama tu.

Tumkumbushe tu kuwa umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. View attachment 1564174

Sent using Jamii Forums mobile app

Hao walinzi wake wanatia mashaka
 
HATOKI MTU HAPA! Wale wote wanaodhani kuwa Nitajiondoa katika kinyang'anyiro cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, wanaota ndoto za Mchana. Kimbunga kitakachoanza tarehe 15 September 2020 October ni Kimbunga kumbakumba! Watanzania kaeni chonjo!

Bahati nzuri Membe ana sura nzuri Mashaallah lau kana sura yake imeanza kusawajika na kupoteza nuru siku za hivi karibuni ila Bahati mbaya sana Membe huyohuyo hana mvuto kabisa wa kisisasa.

Jina lake lilivyokuwa linavuma kwa siku nyingi ni tofauti kabisa na mtu mwenyewe alivyo kwa sasa. Inawezekana huyu siyo mwanasiasa kabisa ila mtu wa kukaaa ofisini tu . Hata kama kuna mtu aliyembeba miaka yote hiyo katka utendaji wake ninampongeaza sana.
 
Mgombea wa kiti cha urais kupitia ACT wazalendo ameanza kuonja shubili ya kujinadi kisiasa.

Hii imetokea mara tu baada ya kusambaa habari kuwa amekataa kabisa kuungana na cdm ili kumsimamisha mgombea mmoja wa kiti cha urais...


Zitto ameshindwa kabisa kutafuta mimbari nzuri yenye hadhi?
 
Yani ukiambiwa Member ni Senior wa TISS huwezi kukubali kabisa ni kama leo ukiambiwa kidogo tu Mrema awe Rais 1995
 
Kuna game linatengenezwa ambalo ndiyo kaburi rasmi ya CCM before 28th October.

Stay turned... kauli ya Lissu Zanzibar na ukimya wa ACT si mwa bahati mbaya
 
Kuna game linatengenezwa ambalo ndiyo kaburi rasmi ya CCM before 28th October.

Stay turned... kauli ya Lissu Zanzibar na ukimya wa ACT si mwa bahati mbaya
Awapi 🚶
 
Mgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo ambaye hapo kabla alikuwa mwanachama wa ccm Bernard Membe ametema nyongo baada ya maneno kuwa mengi yakimtaka aachie nafasi ya kinyang'anyiro cha urais na kumuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya Chadema Tundu Antipas Lissu ambaye amemuunga mkono mgombea wa ACT upande wa Zanzibar Maalim Seif Shalif Hamad..
Hicho kimbunga kilishachelewa kwa kifupi Membe ameshajifia kisiasa hata kura 100 sijui Kama atapata
 
Back
Top Bottom