Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Mkuu hili watu wengi hawajaliona. Lakini Nina imani Chadema wamefurahishwa sana na kauli hii ya Membe maana kama angekubali kujiunga nao wangefanyaje kumkwepa?Sioni kwanini Membe amuunge mkono Lisu. Hawa watu wa ccm ndio huwa wanavuruga upinzani. Nimefurahi sana yeye kugoma kumuunga mkono Lissu, maana huko mbele ya safari ndio huwa wanaingia kwenye vikao vya siri vya cdm na kujifanya ni washirika wa upinzani, kumbe ni mashushu uchwara wa CCM...
Ni sawa una chakula cha kutosha wanao na mgeni unamwambia karibu chakula. Akisema asante endeleeni hurudii tena kumkaribisha zaidi ya kushukuru moyoni.
Asante sana Membe kwa kurahisisha mambo