Bernard Membe mbona yupo kimya sana?

Unataka umfananishe na sabaya ,huyu anafanya kazi zake kimya kimya ujuavyo hata gazeti lachama linaandika vitu mama hakusema

Kazi zawatu hizo
 
'Wenye nchi' wameshamtisha.Na huenda wamemkumbusha yale yaliyomkuta I. Kombe.Kuna nguvu kubwa ipo nyuma mfumo rasmi tunaoujua.Ina nguvu kuliko Serikali.
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka jana alisema (nanukuu), nasubiri dakika za majeruhi nifunge goli niingie ikulu.
 
Alisema atafunga goli dakika ya mwisho watu tukacheka mpaka basi. Tukamuona chizi tu. Hata sijui alifungwa yeye goali hata hatuelewi.
 
Anatafakari atarudi ccm kwa staili ipi.
i ccm kwa staili ipi
 
Mzee wameitumikia nchi sana tumwache apumzike vijana nao wapambane sio kuulizia water wawatu labda wadangaji ndio waulizieee!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…