wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
GENTAMYCINE anaendeleaje mkuu?He completed his assignment on 17th March, 2021 and now he's enjoying the Payment.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GENTAMYCINE anaendeleaje mkuu?He completed his assignment on 17th March, 2021 and now he's enjoying the Payment.
Are you okay Mentally?GENTAMYCINE anaendeleaje mkuu?
Kwanini??,kisa yupo kimya??.Katika majasusi uchwara wa Kwanza Ni huyo Membe.Kilichombeba Ni Ile inshu yake na Mzee Hassy kitine,nje ya hapo Ni bure kabisa.
Nguvu ipi hiyo mkuu'Wenye nchi' wameshamtisha.Na huenda wamemkumbusha yale yaliyomkuta I. Kombe.Kuna nguvu kubwa ipo nyuma mfumo rasmi tunaoujua.Ina nguvu kuliko Serikali.
Wewe na yeye Nani bure?Katika majasusi uchwara wa Kwanza Ni huyo Membe.Kilichombeba Ni Ile inshu yake na Mzee Hassy kitine,nje ya hapo Ni bure kabisa.
i ccm kwa staili ipiJasusi wa zamani wa TISS, Mwanadiplomasia na waziri mstaafu Benard Membe yupo kimya Sana awamu hii.
Membe ni jasiri aliyemtikisa Magufuli na kukosoa utendaji wake tangu mwaka 2016 mwanzoni. Namnukuu"Rais Magufuli asitudanganye eti kapunguza matumizi ya serikali kwa kuunganisha wizara mbalimbali, alichokifanya ni sawa na kupunguza mifuko huku idadi ya mayai ikiwa ileile, yaani kahamishia mayai ktk mifuko michache na sio kuyapunguza mayai. Kama anadai kapunguza wizara ngoja tuone bajeti yake ya Kwanza mwaka huu 2016". Benard Membe.
Alipotoa kauli hiyo alitukanwa Sana na UVCCM ya kipindi hicho. Baada ya hapo alinyamaza kimya na kuibuka baadae na kudai atampinga Rais Magufuli kwa njia ya uchaguzi ndani ya chama 2020. Hawakumvumilia na badala yake alifukuzwa na kuhamia ACT. Aligombea Urais na kuambulia kura chache mno, kura si zaidi ya 60,000.
Je, jasusi huyu yupo wapi mbona hasikiki? Anautazama vipi utawala huu?