Tetesi: Bernard Membe na mtandao wao hawakufurahia uamuzi wa Rais Magufuli kununua korosho kwa wakulima tena kwa bei kubwa kuliko iliyopendekezwa

TWENDE NA MEMBE 2020
Umenena vyema. Ni mkakati mzuri. Wawangalie vizuri huenda wanapata ushawishi wa fedha na mambo mengine kutoka kwa mabeberu wa nje. Ikithibitika watoswe mapema.
 
Aliyesababisha janga ndo kainuka? Kwa kweli Mungu aiongeze dhambi ya kujikomba kwenye orodha ya dhambi zisizosameheka.
 
Wewe mtoa hoja ni mchoyo mno wa ukweli,umeonyesha ufinyu wako wa ufahamu na bado unafikiria watanzania wa sasa unaweza kuwadanganya kama watu kama wewe unavyoamini,pamoja na mkakati wa kuua elimu nchini usitegemee wote watalewa upuuzi wako,NI HATARI SANA ;WE NEED TO STOP NATIONAL LIES FROM BECOMING TRUTH.
 
pole sana kiongozi, ila wanatuaminisha kwamba tupo kwenye RAITI TRAKI Mungu baba awalaani wote
Mwisho wa siku watatupangia hata chakula cha kwenye familia zetu, kwamba kama wewe si mkulima wa mahindi usiewe nayo ndani maana hata hutakiwi kuwa na unga maana wewe si mkulima wa mahindi! Karanga, mbaazi, ufuta na mengine mengi tuu, mwisho wa siku watatuambia kila mtu ale anachozalisha! Si tutakulana wenyewe sasa?? Maana wengine wanazalisha watoto tuu na kubeba mzigo ferry ndo wanapata hela ya kununua chakula!

Kwenye hii kampeni yao wanaleta unyonyaji wa dhahiri kabisa!

Kwani ni lazima wainunue korosho yangu?? Kama mi si mkulima waniache na mazao yangu nitakaanga nitazila mwenyewe kuliko kunifunga na kuninyang'anya na kuwalipa hela tena ya kutoka mahabusu!

Ccm wote hawana utu na wanataka na wengine tuishi kama wao!
 
hali ya nchi saiv ni mbaya sana hakuna mtu ambaye hajaguswa, sio mabailionea,sio mkulima, sio mfanyakazi, sio mfanyabiashara, sio mwanafunzi hadi ambao wanakuja tu kutembea tu Tanzania wenyew wanakiri, juzi nilikuwa nimekaa sehem ya kuuza vitu vya kitamaduni wakaja wazungu kununua pale kwenye story zao na muuzaji wakaingizia hali mgumu ya maisha Tz kulinganisha na miaka ya nyuma waliyokuja nikasema kumbe hadi wao ingawa wanapita lakini balaa wanaliona. Mungu atusaidie uchaguzi ujao Mungu baba atutangulie atupatie kiongozi busara asiyefanya vitu kwa kukurupuka kama anafanya maamuzi kwenye familia yake na wanae!!!!
 
Well said Genta, ukiwa na kiongozi ambaye anaamini yeye hakosei na anajitahidi kuaminisha watu kuwa matatizo yote yaliyopo yamesababishwa na wengine na kama ingekuwa yeye yasingekuwepo jua una janga. Haijaloshi huyo kiongozi ni wa ngazi ya familia, mtaa, kata, wilaya au Taifa, lakini bado itakupa shida. Kwenye ngazi ya familia kila mnapoomba viatu vya shule baba anawajibu, kama isingekuwa mama yenu kupenda kukaangiza kila siku wote mngekuwa na viatu pea mbili mbili, huyo ni baba mkwepa lawama. Anakwepa kuwajibika kwa yanayomhusu na kuwasukumia yasiyowahusu. Tabia hii sasa imeambukizwa kwa wapambe ambao ubovu wa serikali unatafutiwa wa kumtwisha. Sasa hivi unawaona wako kimya kuhusu pensheni ya 25%, lakini usidhani wamelala, hawalali wanatafuta wa kumtwisha zigo hilo. Serikali ya Wasafi Classic, hawataki uchafu na wako tayari kupaka rangi uchafu ili waonekane wasafi muda wote.
 
Wewe subiri tu mwaka 2019 kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wa ule wa 2020, hakuna cha kampeni mzee kila kitu kishaisha. Mlimu-beep Magufuli akawapigia, sasa mnalialia, why?
Angalia picha hii hapa utoe maksi.

 

Attachments

  • IMG_0220.JPG
    346.5 KB · Views: 27

Sijui unaandika ukiwa wapi kama ungefika Mtwara na Lindi Kwa wakati huu usingeandika haya uliyoyandika labda kama unaandika Kwa lengo LA propaganda na kupotosha umma. Huku kaka Kwa taarifa yako halo ni mbayà sana na hakuna anayemzunguza vizuri magufuli kifupi anatutesa wakulima
 


Siku nyingine unapotoka kuingiliwa kinyume na maumbile , tafadhali ujiswafi kwanza ndio uje kuandika, la sivyo ni harufu mbaya tu kama uliyotoa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…