Hivi Edward hakujaribu hii gear ili apate mtaji?Kauli hii ina maana gani kwamba ni ahadi ya Mh Membe kuwa atakaposhinda kiti cha Urais na kuapishwa basi siku inayo fuata viongozi wa dini watarudishwa Zanzibar....
Huyu atamuunga mkokno Lissu au atasimama yeye kama yeye?
Kumbukumbu zangu zinaniambia Edward nae alisema akichukua nchi kupitia Chadema atawaachia masheikh wa uamsho.Weka kumbu kumbu sawa mkuu
Hivi Edward hakujaribu hii gear ili apate mtaji?
Kura za Lindi na Zanzibar na Kigoma kwa kiasi fulani,zinaweza kutuathiri iwapo hawataungana.Niwe mkweli, sioni haja yoyote ya kuungana mkono, maana huko mbeleni huwa kunazuka tafrani zisizo na sababu yoyote. Cha muhimu tu wakati wa kampeni vyama hivi visishambuliane kuonyesha vinashindana vyenyewe kwa vyenyewe badala ya kushindana na ccm...
Hata Masheikh pia alisema. Lakini sidhani alifuata ahadi ya Edward bali alifuata vigezo vya board of parole ili kuachia wafungwa.Lowassa alisema atawaachia akina Babu Seya, Magufuli alipokuwa rais ikibidi acheze na hiyo ahadi. Hata Mwinyi akiwa rais itabidi afanye kama alivyoahidi Membe, ili kushusha munkari ya Wazanzibari, kwani ccm haina uwezo wa kushinda kihalali huko Zanzibar.
Yeye ni sehemu kubwa na muhimi ya mfumo iliowaweka ndani watu hao, na pia kwenye majukwaa ya kimataufa alitetea kitendo hicho.Kauli hii ina maana gani kwamba ni ahadi ya Mh Membe kuwa atakaposhinda kiti cha Urais na kuapishwa basi siku inayo fuata viongozi wa dini watarudishwa Zanzibar...
Yani wangejua aisee wasingeongea hayo...Ishu ya uamsho si rahisi kama anavyodhani. Amuulize JK anaweza kumpa jibu
Ona huyu naeHakuna dalili ya kumuunga mkono Lissu hapo labda huyo Lissu ndio amuunge mkono Membe, hapo wamekutana wote waroho wa madaraka hivyo hakuna wa kumuachia mwenzake hapo.
Kura za Lindi na Zanzibar na Kigoma kwa kiasi fulani,zinaweza kutuathiri iwapo hawataungana.
Atakuja kutia timu kwa Lissu tusubiri.Huyu atamuunga mkokno Lissu au atasimama yeye kama yeye?