Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,482
- 3,999
Waroho kuliko ccm iliyoko madarakani kwa miaka yote ...Hakuna dalili ya kumuunga mkono Lissu hapo labda huyo Lissu ndio amuunge mkono Membe, hapo wamekutana wote waroho wa madaraka hivyo hakuna wa kumuachia mwenzake hapo.