Bernard Membe: Nikiapishwa kuwa Rais wa Tanzania viongozi wote wa dini (mashekhe) watarudishwa Zanzibar

Bernard Membe: Nikiapishwa kuwa Rais wa Tanzania viongozi wote wa dini (mashekhe) watarudishwa Zanzibar

Yeye ni sehemu kubwa na muhimi ya mfumo iliowaweka ndani watu hao, na pia kwenye majukwaa ya kimataufa alitetea kitendo hicho.
Ameshawaona waislam ni mapopoma siyo!!! Heri angekaa kimya tu!
Aliyewaweka nini kama si kikwete Kwenye utawala wake yeye akiwa waziri

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama Seif angeshinda Zanzibar alafu Tanzania bara akashinda mgombea wa Ccm mgelitekeleza vipi? Maana wewe umeshupaza shingo Mzee Seif kushinda Zanzibar. Hapo ndio unaonekana pumbavu kabisa.
Hujui kuwa kwa mujibu wa katiba mtu akitenda kosa Zanzibar anashtakiwa huko na si kuletwa Bara kushtakiwa. Mahakama za Bara hazina mamlaka kuendesha kesi kwa kosa lililotendwa Zanzibar and vice versa. Ndiyo sababu kesi za mashehe kamwe hazitasikilizwa, konachofanyika ni kinyume cha sheria kuendelea kuwashikilia.
 
Hujui kuwa kwa mujibu wa katiba mtu akitenda kosa Zanzibar anashtakiwa huko na si kuletwa Bara kushtakiwa. Mahakama za Bara hazina mamlaka kuendesha kesi kwa kosa lililotendwa Zanzibar and vice versa. Ndiyo sababu kesi za mashehe kamwe hazitasikilizwa, konachofanyika ni kinyume cha sheria kuendelea kuwashikilia.
Sio kosa lako ni kosa la kutoenda shule na kujiingiza kwenye ushabiki. Hujui kuna sheria zinazofanya kazi Zanzibar na Tanzania bara? Hujui sheria ya ugaidi inafanya kazi Zanzibar na Tanzania bara? Hujui kuwa wanashitakiwa kwa kosa la ugaidi?
 
JPM awatoe tu hao Mashekhe.

Haiingii akilini amewatoa Babu Seya na Papii halafu Mashekhe wanaendelea kusota.

Lakini hata akiwatoa haitamsaidia kupata kura za Wazanzibari.
 
JPM awatoe tu hao Mashekhe.

Haiingii akilini amewatoa Babu Seya na Papii halafu Mashekhe wanaendelea kusota.
Hivi aliyewatupa ndani ni nani? You might be suprised labda ni viongozi kutoka Zanzibar hukohuko wanaotaka hao mashekhe waendelee kukaa ndani. Kuna kitu ambacho labda wengi hatukijui
 
Hakuweka fumbo, ameliweka wazi, wenye masikio mazuri timeyasikia . Kuwa watarudishwa ZNZ na mahakama za huko zitafanya sheria yake.
 
Nashukuru kwa kuuona ukweli ambao hata mimi nauona wazi. Ukijaribu kumuangalia Zito vizuri, kaungana na Sief ili kupata mtaji wa huko Zanzibar, lakini roho na akili yake yote iko huku bara, na anajua fika wapiga kura wa ukweli wa upinzani, ni wafuasi wa Cdm. Na ni ukweli ulio dhahiri cdm ina wafuasi wasioyumba kwenye upinzani, na kwa kiasi fulani Zito anajiona ana jasho lake kwenye wafuasi hao wa Cdm. Hivyo Zito anataka sana ushirikiano na cdm, kwani anaijua vyema nguvu hii ya wafuasi wa Cdm.
Yes, hiyo ndio sababu Zitto binafsi anaonekana zaidi kuupigia chapuo huo muungano na Chadema.

Huu muungano japo Zitto anasema wameshakubaliana, lakini nashawishika kabisa kuamini wanaungana ila mioyo yao haipo clean, na hata nimekuwa nikisoma baadhi ya comments za waliokuwa wabunge wa Chadema kule twitter, nao wanaonesha hawana imani 100% na Zitto na huo muungano anaoutaka, na kwa hili siwalaumu, Zitto ameonesha huko nyuma hasa utawala uliopita sio mtu wa kumuamini.

Anyway, let's wait and see what will happen next.
 
Hilo sikatai, lakini huko mbeleni ndio changamoto zaweza kujitokeza.
Labda kwa wabunge ACT waachiwe Kigoma tu na Chadema upande wa Zanzibar waachiwe majimbo 2 tu pale Unguja kwa makamu mwenyekiti na lile la Salum Mwalimu. Kinyume na hapo nakubaliana na wewe kuwa italeta taabu.
 
Hivi aliyewatupa ndani ni nani? You might be suprised labda ni viongozi kutoka Zanzibar hukohuko wanaotaka hao mashekhe waendelee kukaa ndani. Kuna kitu ambacho labda wengi hatukijui

Hili suala limeelezewa vizuri sana na Othman Masoud aliyepata kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Lakini ni miaka mingi imepita na serikali haijaweza kukusanya ushahidi dhidi ya hawa mashekhe ili kesi iweze kuendelea.
 
Kauli hii ina maana gani kwamba ni ahadi ya Mh Membe kuwa atakaposhinda kiti cha Urais na kuapishwa basi siku inayo fuata viongozi wa dini watarudishwa Zanzibar...

Nani atakuchagua?
 
Yes, hiyo ndio sababu Zitto binafsi anaonekana zaidi kuupigia chapuo huo muungano na Chadema...

Mwanzoni Zitto alifikiri utawala wa Jpm utakuwa na staha kwa wapinzani.

Sifa alizopewa na Jpm siku anafungua bunge zilimfanya Zitto aamini kuwa hatatiwa msukosuko na watawala.

Baadae na haswa baada ya kupigwa risasi TL, Zitto aligundua kuwa, wakati wa utawala wa Jpm, hakuna mpinzani aliyeko salama.
 
Yani wangejua aisee wasingeongea hayo...
Sasa kama magaidi si wasomewe mashitaka yao wahukumiwe mchezo uishe? Wangejua wangejua Mbona babu seya katoka na ushahidi walisema wamebaka na hukumu ikatoka na hadi rufaa ikabaki hivyo hivyo wamebaka? Je hiyo ya uamsho una uhakika gani ni magaidi na sio kubumba?
 
Nadhani kuna maneno hapo Membe either hajayazungumza vizuri, au waliomnukuu ndio hawakumnukuu vizuri.

Hao viongozi wa dini anaowazungumzia naamini ndio wale masheikh wa Uamsho wanaoendelea kushikiliwa kwenye magereza huku bara, hivyo kusema tu atawarudisha Zanzibar hao watu naona haitoshi, angesema atawaachia huru warudi nyumbani.
Mi naona kisheria inatosha sana. Hapa ndipo ninapoona busara ya Membe, ukiwa Rais huwezi kuachia washtakiwa kirahisirahisi tu. Tatizo la kwanza kwenye kesi ya Uamsho ni kosa kutendeka Zanzibar, mashtaka kufunguliwa Bara.

Kwa hiyo cha kwanza ni kuwarudisha watuhumiwa mahali walipotuhumiwa kutenda kosa ili Mahakama yenye himaya ianze kutenda haki. Uko sahihi Membe.
 
Back
Top Bottom