Aliyewaweka nini kama si kikwete Kwenye utawala wake yeye akiwa waziriYeye ni sehemu kubwa na muhimi ya mfumo iliowaweka ndani watu hao, na pia kwenye majukwaa ya kimataufa alitetea kitendo hicho.
Ameshawaona waislam ni mapopoma siyo!!! Heri angekaa kimya tu!
Hujui kuwa kwa mujibu wa katiba mtu akitenda kosa Zanzibar anashtakiwa huko na si kuletwa Bara kushtakiwa. Mahakama za Bara hazina mamlaka kuendesha kesi kwa kosa lililotendwa Zanzibar and vice versa. Ndiyo sababu kesi za mashehe kamwe hazitasikilizwa, konachofanyika ni kinyume cha sheria kuendelea kuwashikilia.Sasa kama Seif angeshinda Zanzibar alafu Tanzania bara akashinda mgombea wa Ccm mgelitekeleza vipi? Maana wewe umeshupaza shingo Mzee Seif kushinda Zanzibar. Hapo ndio unaonekana pumbavu kabisa.
Kasema “akishaapishwa kuwa Rais”....sasa hapo anamuungaje mkono Lissu? Kachero keshaamua kutimiza ndoto.Huyu atamuunga mkokno Lissu au atasimama yeye kama yeye?
Sio kosa lako ni kosa la kutoenda shule na kujiingiza kwenye ushabiki. Hujui kuna sheria zinazofanya kazi Zanzibar na Tanzania bara? Hujui sheria ya ugaidi inafanya kazi Zanzibar na Tanzania bara? Hujui kuwa wanashitakiwa kwa kosa la ugaidi?Hujui kuwa kwa mujibu wa katiba mtu akitenda kosa Zanzibar anashtakiwa huko na si kuletwa Bara kushtakiwa. Mahakama za Bara hazina mamlaka kuendesha kesi kwa kosa lililotendwa Zanzibar and vice versa. Ndiyo sababu kesi za mashehe kamwe hazitasikilizwa, konachofanyika ni kinyume cha sheria kuendelea kuwashikilia.
Hivi aliyewatupa ndani ni nani? You might be suprised labda ni viongozi kutoka Zanzibar hukohuko wanaotaka hao mashekhe waendelee kukaa ndani. Kuna kitu ambacho labda wengi hatukijuiJPM awatoe tu hao Mashekhe.
Haiingii akilini amewatoa Babu Seya na Papii halafu Mashekhe wanaendelea kusota.
Well said bro! State affairs even the President cannot interfere.Ishu ya uamsho si rahisi kama anavyodhani. Amuulize JK anaweza kumpa jibu
Yes, hiyo ndio sababu Zitto binafsi anaonekana zaidi kuupigia chapuo huo muungano na Chadema.Nashukuru kwa kuuona ukweli ambao hata mimi nauona wazi. Ukijaribu kumuangalia Zito vizuri, kaungana na Sief ili kupata mtaji wa huko Zanzibar, lakini roho na akili yake yote iko huku bara, na anajua fika wapiga kura wa ukweli wa upinzani, ni wafuasi wa Cdm. Na ni ukweli ulio dhahiri cdm ina wafuasi wasioyumba kwenye upinzani, na kwa kiasi fulani Zito anajiona ana jasho lake kwenye wafuasi hao wa Cdm. Hivyo Zito anataka sana ushirikiano na cdm, kwani anaijua vyema nguvu hii ya wafuasi wa Cdm.
Labda kwa wabunge ACT waachiwe Kigoma tu na Chadema upande wa Zanzibar waachiwe majimbo 2 tu pale Unguja kwa makamu mwenyekiti na lile la Salum Mwalimu. Kinyume na hapo nakubaliana na wewe kuwa italeta taabu.Hilo sikatai, lakini huko mbeleni ndio changamoto zaweza kujitokeza.
Hivi aliyewatupa ndani ni nani? You might be suprised labda ni viongozi kutoka Zanzibar hukohuko wanaotaka hao mashekhe waendelee kukaa ndani. Kuna kitu ambacho labda wengi hatukijui
Kauli hii ina maana gani kwamba ni ahadi ya Mh Membe kuwa atakaposhinda kiti cha Urais na kuapishwa basi siku inayo fuata viongozi wa dini watarudishwa Zanzibar...
Yes, hiyo ndio sababu Zitto binafsi anaonekana zaidi kuupigia chapuo huo muungano na Chadema...
Aliitumia ila alipigiwa makelele, Msajili wa chama anawacheck tu atawavutia way a mda siyo mrefuHivi Edward hakujaribu hii gear ili apate mtaji?
Sasa kama magaidi si wasomewe mashitaka yao wahukumiwe mchezo uishe? Wangejua wangejua Mbona babu seya katoka na ushahidi walisema wamebaka na hukumu ikatoka na hadi rufaa ikabaki hivyo hivyo wamebaka? Je hiyo ya uamsho una uhakika gani ni magaidi na sio kubumba?Yani wangejua aisee wasingeongea hayo...
Mi naona kisheria inatosha sana. Hapa ndipo ninapoona busara ya Membe, ukiwa Rais huwezi kuachia washtakiwa kirahisirahisi tu. Tatizo la kwanza kwenye kesi ya Uamsho ni kosa kutendeka Zanzibar, mashtaka kufunguliwa Bara.Nadhani kuna maneno hapo Membe either hajayazungumza vizuri, au waliomnukuu ndio hawakumnukuu vizuri.
Hao viongozi wa dini anaowazungumzia naamini ndio wale masheikh wa Uamsho wanaoendelea kushikiliwa kwenye magereza huku bara, hivyo kusema tu atawarudisha Zanzibar hao watu naona haitoshi, angesema atawaachia huru warudi nyumbani.
Alisema atamleta Daudi Balali!Kumbukumbu zangu zinaniambia Edward nae alisema akichukua nchi kupitia Chadema atawaachia masheikh wa uamsho.