Waroho kuliko ccm iliyoko madarakani kwa miaka yote ...Hakuna dalili ya kumuunga mkono Lissu hapo labda huyo Lissu ndio amuunge mkono Membe, hapo wamekutana wote waroho wa madaraka hivyo hakuna wa kumuachia mwenzake hapo.
Anajua hawezi shinda urais.Halafu yeye alikuwa kwenye mfumo wakati wanawekwa ndani naamini anajua...
tujuzeni basi itusaidieYani wangejua aisee wasingeongea hayo...
Swali zuriHuyu atamuunga mkokno Lissu au atasimama yeye kama yeye?
Huyu atamuunga mkokno Lissu au atasimama yeye kama yeye?
Edward alisema atawaachia akina Babu seyaHivi Edward hakujaribu hii gear ili apate mtaji?
Iwe iwavyo muhimu kura za ccm ziharibike au zipungue.Hakuna dalili ya kumuunga mkono Lissu hapo labda huyo Lissu ndio amuunge mkono Membe, hapo wamekutana wote waroho wa madaraka hivyo hakuna wa kumuachia mwenzake hapo.
Tanzania itakuwa kama ulaya!!! Zanzibar itakuwa kama Dubai!!!Edo alisema atamleta "Daudi Balali toka kusikojulikana.
Yaani Siku zote akiwa kwenye kamati ya ulinzi wa taifa, pia foreign minister akipigia chapuo foreign policy ya Tz, na akijinasibu kuwa alikuwa karibu saana na Mwl.Kauli hii ina maana gani kwamba ni ahadi ya Mh Membe kuwa atakaposhinda kiti cha Urais na kuapishwa basi siku inayo fuata viongozi wa dini watarudishwa Zanzibar.
Hapa anamaanisha mashekhe wa uamsho ama ni viongozi wepi hao?
Na je kurudishwa Zanzibar tu ama kuachiwa huru kabisa mbona ameweka fumbo?
View attachment 1532176View attachment 1532178
Kauli hiyo ameitoa leo Zanzibar kwenye mapokezi ya viongozi wa ACT wazalendo
Dini itatumika Kama mtaji wa kisiasa kwa Bernad Membe?
AMESHAFELI MPAKA HAPO..BORA ASINGEONGELA HILO, YAJAYO YANAFURAHISHAKauli hii ina maana gani kwamba ni ahadi ya Mh Membe kuwa atakaposhinda kiti cha Urais na kuapishwa basi siku inayo fuata viongozi wa dini watarudishwa Zanzibar.
Hapa anamaanisha mashekhe wa uamsho ama ni viongozi wepi hao?
Na je kurudishwa Zanzibar tu ama kuachiwa huru kabisa mbona ameweka fumbo?
View attachment 1532176View attachment 1532178
Kauli hiyo ameitoa leo Zanzibar kwenye mapokezi ya viongozi wa ACT wazalendo
Dini itatumika Kama mtaji wa kisiasa kwa Bernad Membe?
Kauli hii ina maana gani kwamba ni ahadi ya Mh Membe kuwa atakaposhinda kiti cha Urais na kuapishwa basi siku inayo fuata viongozi wa dini watarudishwa Zanzibar.