Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Nitagombea Urais Upinzani ukinipa ridhaa

Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Nitagombea Urais Upinzani ukinipa ridhaa

2015 kuwadi alikuwa Gwajima, 2020 kuwadi Zitto, hahaha! Wapinzani wasipong'amua janja hii basi nitaamini kuw upinzani wa Tanzania upo kama kiini macho ili kuwafurahisha mabwana wa dunia akina IMF, WB, USA, nk kuwa Tanzania ni nchi ya "VIAMA" vingi
 
Tunahitaji uhuru kutoka katika makucha ya dicteta. Tanzania imekuwa nchi mbaya kuishi na kujishughulisha na siasa, hakuna uhuru wa kujieleza tena. Hata viongozi wakubwa serikalini wamekuwa hawajiamini na waoga na hulazimishwa kusifu kila kitu hata kama si kizuri.
mchango wako mkuu! we unadhan ni uhuru gan
Membe yuko nje ya mstari.
Nia na uhalisia vitu viwili tofauti.
Jasusi amezidiwa akili analia lia tu kwenye media
Kachero mbobezi mwenye uchu na tamaa ya madaraka.
 
Sasa BM amekua serikalini miongo mingi iliyopita, Hizo kero anazoziona leo, Wakati akiwa ndani ya serikali kwanini hakua sababu ya taratibu hizo kurekebishwa?
 
Membe ni “part and parcel” ya mfumo wa ufisadi ulioasisiwa na kuimarishwa na CCM/dola ikiwa ni pamoja na udikteta wa makundi/mitandao ya “chama” hicho. Ni wajinga tu ndio watakaomuona kama “mwanasiasa makini”.

Upinzani unahitaji kushiriki uchaguzi ili TU kudhihirisha hali halisi ya kisiasa iliyopo nchini. Lakini ushindi kwao ni NDOTO YA MCHANA hata wamsimamishe malaika Gabrieli.
 
Waungane kwa lipi? Kawafanyia nini labda awahonge..yaani wakikosana ndiyo jalala lao ndilo hilo...na wapinzani wanavyopenda hongo usije ukashangaa wanampa

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Huu ni mradi wa DJ, sasa hivi kajichimbia na watu wake wanatengeneza Bussiness Plan na Profoma Invoices ili yoyote anaetaka kugombea urais upinzani akabidhiwe. Naskia Lissu hana hela anategemea chama kimdhamini kwenye kampeni, kwahiyo lazima aliwe kichwa.
 
Back
Top Bottom