Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tunasisitiza utalii wa NDANI, tumekuza uchumi, Hali ya kipato Cha Mtu mmoja mmoja imeboreka Sana, kwa Sasa kila kaya Ina wastani wa magari mawili. Tunajitegemea kikamilifuTumejitenga na dunia hata takwimu za corona hawapati ng’o. Watalii watakaokuja kwetu wakirudi makwao waende karantini kwa siku 14. Maana yake uwe na siku 28 au zaidi za likizo.