Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
johnthebaptist,
Kwa taarifa yako Membe hajasahau, bali hajui. Bado ana hang over ya alipokuwa CCM, kwani wakati huo alikuwa yuko juu ya sheria, na aliweza kufanya chochote hata kinyume cha sheria na asiguswe.
Wapinzani waliokula hela za Membe warudishe, huyo mzee analiwa hela kwa ahadi kuwa atapewa nafasi ya kugombea urais. Ndio maana yuko porini huko anaagiza wapinzani waungane, halafu yeye ndio aje agombee urais!
Anaamini wapinzani wanaweza kuwa wajinga mara mbili. Yeye aongee vizuri na ACT, ajue wanamrudishia hela yake, au wampe nafasi, lakini sio kupata support ya wapinzani.