jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
...ila JPM ana dharau sana kamwacha jamaa abwabwajeeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anawashauri wapinzani waungane ili aone kama watampa ridhaa agombee, sasa atatuliaje mkuu? huoni hio ni chansi kwake kutimiza ndoto yake?Sawa
Basi Atulie Tuli
Ulitaka afanyeje? Hopeless commentator...ila JPM ana dharau sana kamwacha jamaa abwabwajeeeeee
Membe hela za Gadafi zitusaidie kuingia ikulu
Tatizo hawataki kujitolea lakini ni upi uamuzi sahihi kwa awakati huu?
2015 ilibaki kidogo hii nchi ikombolewe japo Lowasa alipokewa kimakosa lakini ukombozi ni ukombozi.
Kwakweli Hawa wazee uzalendo hawana kabisa hawataki kujitolea hata kwa kuwa washauri wa kuweka mikakati.
Akiulizwa swali la kichokozi na muandishi wa BBC Ndugu Benard ameeleza wazi kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu anayo haki ya kuamrisha vyombo vya ulinzi na Usalama ,kuelekeza na kuvitaka vifanye nini.
Membe hela za Gadafi zitusaidie kuingia ikulu
...ila JPM ana dharau sana kamwacha jamaa abwabwajeeeeee
Wahenga walisema, "Kunyamaza kimya ni jibu la "...ila JPM ana dharau sana kamwacha jamaa abwabwajeeeeee
Kwani ndugu Nyahuza alisema nini kuhusu kuungana vyama na kusimamisha mgombea mmoja. Mbona 2015 Ukawa ilifanikiwa?
Nani hataki ruzuku mpaka amuachie mwenzake kugombea?Si ni hivi chama kimoja tu cha upinzani ndo kinasimamisha Rais atakaeungwa mkono na vyama vingine. Wakiamua wanaweza.
Hapo inabidi vyama viingie mkataba wa kisheria na muda si rafiki!Si ni hivi chama kimoja tu cha upinzani ndo kinasimamisha Rais atakaeungwa mkono na vyama vingine. Wakiamua wanaweza.
Hapo ndiyo pana utataNani hataki ruzuku mpaka amuachie mwenzake kugombea?