Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Nitagombea Urais Upinzani ukinipa ridhaa

Mimi sio mwanasheria mpaka nikupe vifungu. Ila sheria mbaya ni lazima vyama vinavyotaka kuungana, viungane kisheria miezi mitatu kabla ya kampeni/uchaguzi. Na taarifa hii lazima iende kwa msajili wa vyama vya siasa aidhinishe.
Kumbe sio sheria mbaya ila mmechelewa kuungana na kumteua Membe.
 
Mimi sio mwanasheria mpaka nikupe vifungu. Ila sheria mbaya ni lazima vyama vinavyotaka kuungana, viungane kisheria miezi mitatu kabla ya kampeni/uchaguzi. Na taarifa hii lazima iende kwa msajili wa vyama vya siasa aidhinishe.
Wanaweza wasiungane lakini wakawa na makubaliano ambayo yatakwepa figisu za msajili.
 
nimem disqualify kabisa aliposema eti corruption imekuwa curbed under this regime.
he's a joke!
Membe hafai kuwa rais hata wa msafara wa panya kumkaribisha upinzani na kuja kuwa mgombea kwenye chama chenu is political masturbation.

Kama chama chetu kimekosa mgombea wa urais tupiganie ubunge muda muafaka ukifika tutasimamisha hao wagombea.
 
Kama mlijua mnatakiwa kuungana miezi mitatu kabla ya kampeni na Membe mnahitaji kwa udi na uvunba mbona mlichelewa?

Mimi sio muumini wa vyama kuungana kutokana na mazingira yetu. Mimi sijawahi kuamini taka ngumu toka ccm, iweje nimuhitaji Membe? ACT ndio wanaomuhitaji Membe maana kwenye chama chao kuna fedha za JK na Membe.
 
Membe hafai kuwa rais hata wa msafara wa panya kumkaribisha upinzani na kuja kuwa mgombea kwenye chama chenu is political masturbation.

Kama chama chetu kimekosa mgombea wa urais tupiganie ubunge muda muafaka ukifika tutasimamisha hao wagombea.

Kunywa chochote utakacho hapo ulipo nakuja kulipa.
 
Hakuna mtu anaekuja pata aibu kama yeye huko mwishoni yale yale ya lowasa yanajirudia
 
Ni maamuzi magumu ila ndo effective katika kumshinda Magufuli. Wanaweza kuelewana waziri mkuu, mgombea mwenza. Pia katika mawaziri watoke vyama vingine. Yaani wakifanya hivyo ndo watafanikiwa kuing'oa CCM. Otherwise wataendelea kugawana kura.
Hiyo ni biashara yao hivyo, hizo hesabu wanazijua sana kuliko wewe. Hakuna mpinzani ana mpango wala uwezo wa kuing'oa CCM zaidi ya kusaka asilimia fulani za kura ili akidhi vigezo vya kupata ruzuku. Ukitaka kujua hilo, leo vita kubwa iko baina ya vyama vya upinzani. Wanachukiana isivyo mithirika kisa ruzuku na uongozi wa kambi ya upinzani.
 
Basi kumbe wanaipenda CCM. Otherwise wangechukua risk once and for all.Kama nia ni kuing'oa CCM basi ni lazima asimame mgombea chama kimoja wengine wampigie campaign.
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Tanzania na kada wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa miongo mingi Bernard Membe anasema ikiwa Vyama vya Upinzani vitaungana na kumpa ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais, basi atakuwa tayari kupambana na Rais John Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Oktoba mwaka huu.

Membe amesifia sehemu ya utendaji kazi wa Magufuli, lakini ameyataja baadhi ya mambo ambayo anasema ikiwa hayatabadilishwa, basi yataitumbukiza nchi matatani. Katika mahojiano haya maalum na mwandishi wa BBC Sammy Awami kutoka nyumbani kwake, katika kijiji alichozaliwa Membe alianza kwa kutoa tathmini ya uongozi wa Rais Magufuli.

Chanzo: BBC

aende kwenye chama cha SAm Sitta na Makonda, CCK
 
Basi kumbe wanaipenda CCM. Otherwise wangechukua risk once and for all.Kama nia ni kuing'oa CCM basi ni lazima asimame mgombea chama kimoja wengine wampigie campaign.
Kwa hawa wabinafsi haitakuja tokea; na hasa wanatumia UKAWA kama bad precedence kuhalalisha utengano wao. Anyway, humu Africa swala la kupigania uongozi mostly sio kwa maslahi ya nchi bali self gains.
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Tanzania na kada wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa miongo mingi Bernard Membe anasema ikiwa Vyama vya Upinzani vitaungana na kumpa ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais, basi atakuwa tayari kupambana na Rais John Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Oktoba mwaka huu.
Kumpa ridhaa ? yeye kama nani? Hebu upinzani uache siasa hizi za majitaka za kuchukua reject wa ccm. Imeshathibitika kwamba reject wa ccm hawasaidii kitu na hata huyu mnayemsemea sana hana jipya
 
Kwa hawa wabinafsi haitakuja tokea; na hasa wanatumia UKAWA kama bad precedence kuhalalisha utengano wao. Anyway, humu Africa swala la kupigania uongozi mostly sio kwa maslahi ya nchi bali self gains.
Na wanaccm huwa wanapigania maslahi ya nani ?
 
Back
Top Bottom