Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

Bernard Membe: Sitaomba msamaha!

Ni Upuuzi tu kumuomba kumpigia magoti binadamu mwenzio badala ya Mungu

Eti unaomba msamaha kwa mtu anaye vuna dhambi kila siku na kufanya maovu. Wakina Lissu, na watu waliopotea akiwa rais mbona yeye ajaomba msamaha?

Kamwe hata mimi siwezi kuomba msamaha kwa kumsema mtu kwamba anaongoza nchi hovyo tena kwenye simu eti kisa nimesema mshamba kwani ushamba ni tusi?

Wasio na pakushika tu ndio wanaweza kujikomba kama walivyofanya Kinana, Makamba, Ngeleja Na Nape.

Akwillina, Azory, Ben Saanane, Mawazo, Lwejabe na wengine hata kama familia zao hazijaombwa msamaha.

R. I. P.
Acheni kupotosha watu kuhusu kupotea kwa hao uliowataja
 
Wote walioomba radhi wameangalia zaidi maslahi/ matumbo yao. Akina Makamba na Nape bado wanavizia teuzi huko mbele. Mzee Kinana atakuwa kaanza kuminywa k.ende kwenye deals zake maana Jiwe kwa visasi yupo vizuri.
 
'Houseboy kujifanya baba mwenye nyumba' ndio kosa la mh Membe.. Aombe radhi kwa kosa hili!
 
Basi hapo chadema mtashangilia kweli kweli!

Na muweke akiba ya maneno maana wakigeuka mnaanza tena kulia.

Membe ni mwanasiasa huyo hana tofauti na Kinana au Msigwa.
Tunakwenda na upepo kaka, ukigeuka tunageuka nao.
Tunaijua siasa
 
Kwani ile meli yake huyo aliye omba msamaha ilisha achiwa kule iliko kamatiwa?
Yule aliomba msamaha for a reason; wanasema ana makontena yake hajayalipia ushuru, sasa kama unajiamini wewe ni msafi msamaha wa nini?!
 
Back
Top Bottom