Ni Upuuzi tu kumuomba kumpigia magoti binadamu mwenzio badala ya Mungu
Eti unaomba msamaha kwa mtu anaye vuna dhambi kila siku na kufanya maovu. Wakina Lissu, na watu waliopotea akiwa rais mbona yeye ajaomba msamaha?
Kamwe hata mimi siwezi kuomba msamaha kwa kumsema mtu kwamba anaongoza nchi hovyo tena kwenye simu eti kisa nimesema mshamba kwani ushamba ni tusi?
Wasio na pakushika tu ndio wanaweza kujikomba kama walivyofanya Kinana, Makamba, Ngeleja Na Nape.
Akwillina, Azory, Ben Saanane, Mawazo, Lwejabe na wengine hata kama familia zao hazijaombwa msamaha.
R. I. P.