Bernard Membe: Tanzania diplomasia imeshuka awamu hii. Tutatengwa na majirani wakiona hatufuati vigezo vya WHO kupambana na COVID19

Vitu vingine vinatia hasira!! Miiko gani tumejitenga nayo? Kuna chuki Kali sana dhidi ya Tanzania isiyokuwa na sababu!! Kinachowakasirisha zaidi ni kutuona tunadunda na tunaendelea na shughuli zetu!! Walitazamia tufe kwa maelfu na haijawa hivyo!! Inawauma sana!!!
Rais wetu Dr Magufuli mamilioni ya watanzania tunakushukuru sana kwa uongozi wako katika kipindi hiki ambacho vinginevyo tungepita kwenye ugumu sana!! Tukikushukuru watanzania ikutoshe maana hao mabeberu na vibaraka wao hatutegemei kama wanaeeza kukiri uongozi wako imara japo nafsini mwa o wanajua hivyo! Mungu yuko upande wetu ndio maana matazamio yao hayajafanikiwa!!
Nonsense! Hamuwezi kumtetea huyo kichaa wenu. Yaani kila mtu anamuonea wivu? Hata mimi nilipokuwaga mpumbavu nilikuwa namtetea sana ila ujinga wake sasa upo wazi mno!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kupata taarifa unajuaje kama hatufi kwa maelfu?
Kifo si kama sindano eti unaweza kuificha mfukoni!!!! Huwezi kuificha jamii na vifo!! Nyie wote ni mashahidi, mkuu ameagiza watu waruhusiwe kuzika ndugu zao kama ikatokea wakafiwa!! Hakuna kuzika kwa siri!! Je wewe binafsi umezika wangapi jana kwenye eneo lako?? na ulitaje hadharani kama ni kweli, vinginevyo ukidanganya hili jamvi limejaa watu toka kila kona ya nchi hii!! Ukweli ni kwamba vifo havipo vingi kamaal manabii wa mabaya walivyokuwa wanatazamia!! Na hilo limewakera sana!! Vifo tunatangaziwa kama vikitokea.
 
Nafikiri Tanzania ndo tunategemea zaidi ule mpaka wa nakonde kupitisha bidhaa kwenda nje na kutoka nje kuja kwetu.
Acha upumbav.u wewe, asilimia 70 ya wapi? Umewahi kuyaona malori ya Zambia yanayotoka South Africa?..Hivi unajua Dar Lusaka ni mbali kuliko Dar Johburg kwa ubora wa barabara n.k? Uwe una-google mambo mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi alisha enda rwanda tu.tunabana matumizi

sijui itakuaje
 
Nonsense! Hamuwezi kumtetea huyo kichaa wenu. Yaani kila mtu anamuonea wivu? Hata mimi nilipokuwaga mpumbavu nilikuwa namtetea sana ila ujinga wake sasa upo wazi mno!

Sent using Jamii Forums mobile app
Eleza kipi amekosea? Unachoonyesha kwa uhakika ni chuki tu isiyokuwa na sababu!! Kipi kinaweza kuhalalisha hizo chuki zako??
 
Membe kakinukisha kama alivyoisha tishia.
Yaani from nowhere anafanya kujiongezea marks baada ya wenye nyumba kutekeleza maskani yao.
Je kesho mkimkuta ametinga sitting room?
 
Mh Membe bado tunaiona nafasi yako ndani ya CCM @ 2020 ikichomoza, lolote linaweza kutokea why NOT maana hali si swali humo ndani ya merikebu.
 
Vitu vingine vinatia hasira!! Miiko gani tumejitenga nayo? Kuna chuki Kali sana dhidi ya Tanzania isiyokuwa na sababu!! Kinachowakasirisha zaidi ni kutuona tunadunda na tunaendelea na shughuli zetu!! Walitazamia tufe kwa maelfu na haijawa hivyo!! Inawauma sana!!!
Rais wetu Dr Magufuli mamilioni ya watanzania tunakushukuru sana kwa uongozi wako katika kipindi hiki ambacho vinginevyo tungepita kwenye ugumu sana!! Tukikushukuru watanzania ikutoshe maana hao mabeberu na vibaraka wao hatutegemei kama wanaeeza kukiri uongozi wako imara japo nafsini mwa o wanajua hivyo! Mungu yuko upande wetu ndio maana matazamio yao hayajafanikiwa!!
Nikisema una mavi badala ya ubongo kichwani nitakuwa nimekosea nini!!?
 
Kifo si kama sindano eti unaweza kuificha mfukoni!!!! Huwezi kuificha jamii na vifo!! Nyie wote ni mashahidi, mkuu ameagiza watu waruhusiwe kuzika ndugu zao kama ikatokea wakafiwa!! Hakuna kuzika kwa siri!! Je wewe binafsi umezika wangapi jana kwenye eneo lako?? na ulitaje hadharani kama ni kweli, vinginevyo ukidanganya hili jamvi limejaa watu toka kila kona ya nchi hii!! Ukweli ni kwamba vifo havipo vingi kamaal manabii wa mabaya walivyokuwa wanatazamia!! Na hilo limewakera sana!! Vifo tunatangaziwa kama vikitokea.

Vile vya usiku vilikuwa vya nn?
 
Hv kwnn mlkuwa mnazka ucku kama c uchuro?Au ulikuwa mtt?
Kifo si kama sindano eti unaweza kuificha mfukoni!!!! Huwezi kuificha jamii na vifo!! Nyie wote ni mashahidi, mkuu ameagiza watu waruhusiwe kuzika ndugu zao kama ikatokea wakafiwa!! Hakuna kuzika kwa siri!! Je wewe binafsi umezika wangapi jana kwenye eneo lako?? na ulitaje hadharani kama ni kweli, vinginevyo ukidanganya hili jamvi limejaa watu toka kila kona ya nchi hii!! Ukweli ni kwamba vifo havipo vingi kamaal manabii wa mabaya walivyokuwa wanatazamia!! Na hilo limewakera sana!! Vifo tunatangaziwa kama vikitokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikilza
Kwa makini mahojiano hayo,yalipangwa na DW na ni bias kabisa
Nasema hivyo kwa sababu eti ni Watanzania tu pekee ndio tutaathirika wakati hata Zambia wataathirika tena pakubwa kuliko sisi watanzania kwa sababu asilimia 70 %ya mizigo ya Zambia inatoka Tanzania
Watapitusha msumbiji
 
Cha msingi hapa ni usalama wa raia wao. Uchumi unakufa na kufufuliwa. Siyo uhai wa binadamu.
 
Hivi unajiona una akili timamu?
Wewe na Membe nani yupo karibu na ccm yote na nani anaifaham TZ?

Unajua maana ya Diplomasia?

Back
Top Bottom