Uchaguzi 2020 Bernard Membe tulimjua tangu awali. Hatusumbui, Mabadiliko ni lazima mwaka huu!

Membe akifikiri akifika huku field atakutana na kelele za hawa kina Lord denning pia!

Mpaka sasa hivi Membe haamini anachokiona.
 
Ni ngumu sana kuelewa kile ambacho ACT na Membe wameplan, ukiangalia kwa juujuu unaweza dhania kwamba BM katumwa na ccm kwa mission maalum, lakini sivyo ilivyo, Membe hakuondoka kwa Aman ccm alifukuzwa kwa mizengwe refer clip za Msiba, lets wait and see kuna jambo laja tena uzuri wake wagomea wawili wenye nguvu katika nafasi ya urais wa JMT wote ni Roman catholic ,ngoma itanoga sana this time
 
Namshukuru mungu Leo nimevuna kura moja kwa lisu kuna mchepuko wangu ulikuwa unaniumiza kichwa sana ulikuwa unajifanya unanipenda sana magu ila Leo umenyosha mikono unasema nakwenda kumpigia lisu kura nikamuuliza kwa nn unasema maisha magumu sana.Lisu popote ulipo umeongeza kura moja leo
 
Jamaa alitumwa tu kuja kukamilisha mission sasa amekuta akili kubwa zinafanya kazi, na nimefurahi kwamba CDM na ACT wanampuuza kwa kiwango cha lami
Lawama zote ni kwa ZITTO,yeye ni msaliti ZITTO alitumwa na Maccm ili amletw Membe wajalibu kupunguza kura za CHADEMA,bahati nzuri Sharif akawahi kumshitukia zitto na Maccm yake.
 
Kuna mchepuko wangu umeajiriwa ulikuwa unajifanya unamkubali magufuli Leo unanipigia simu unaniambia nakwenda kumpigia kura lisu nikamuuliza kwa nn eti laaa maisha haya magumu sana sijapata kuna ona nikambia safi na bado mkipa kura huyu magufuli akarudi awamu ya pili hali itakuwa mbaya hamjawai iona
 
ACT kulikuwa na hsjs gani ya kumsimamisha membe wakati mnamuunga mkono lisu?
 
Ndio wapinzani wetu hawa. Soon zitaanza U turn


Hawajitambui hawa.. Kwanza lazma watoke kwenye kuwa vijikundi na kuwa taasisi km ville CCM hapo huenda wananchi wakawafikiria.
 
Upo sahihi kiongizi Lissu kashiks mioyo ya Watanzania hata wazee waliokuwa Ni mtaji wa na Ccm.vijijini pia hali si shwar mkipiga story za Lissu watu wanafurahi Sana na kuapa kuwa mwaka huu wamechoka kuburuzwa na Lumumba na watawaonesha kwa vitendo.Ni yeyeeeeeeeee!
 
Ni yeye hakika. Ni Tundu Antiphas Lissu, Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…