Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Membe anahoji:
"Je Tupo tayari kwenda kwenye Uchaguzi bila kuwa na tume huru?
Tume huru ya Uchaguzi ndugu zangu, maana yake ni kwamba uwe na Tume katika ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa ambayo ina watu wa aina zote. Wa dini zote, vyama vyote, aina zote za Elimu, Wanasiasa Maarufu bila kujali chama Tawala, Wanakuwa kwenye hilo kundi.
Ili wanapo amua kuhusu Mwanachama anayeomba Udiwani au Ubunge, apitishwe bila Upendeleo.
Sasa mtu mmoja akaniuliza, "Kwani huko nyuma Mheshimiwa mlipitishwaje?". Nikasema tulipitishwa kwa utaratibu huo huo lakini katika mazingira ya sasa hivi, ambayo Mkuu wa Wilaya au Mkuu wa Mkoa au Mkurugenzi, anajisikia hofu kwamba akipita Mtu wa Chama kingine Cheo chake kinaweza kuondoka, anaweza akafanya vitendo vya Upendeleo kulinda Masrahiya cheo chake.
Kwahiyo katika Mazingira ya sasa lazima tuwe na Tume Huru.
Nikawa najiuliza, hili swala la Tume huru tunafanyaje? Twende nalo hivyo hivyo au tuwe na Tume huru? Jibu likawantiwe na tume huru.
Nikawa pia najiuliza kwamba safsri hii tumeambiwa Waangalizi wa Uchaguzi wa dunia( International observers) hawatakuwepo kwa sababu UNDP hajatoa fedha za Uchaguzi, hawatakuwepo sababu wengi wanahofia Corona.
Je, tupo tayari kwenda kwenye Uchaguzi katika mazingira ya kutokuwa na Waangalizi wa Uchaguzi kutoka kote Duniani watakao Sema Uchaguzi huu ulikuwa wa haki, ulikuwa huru na unao heshimika, tupo tayari kufanya hivyo bila kuwa na Waangalizi wale?
Nikawa najiuliza haya Maswali. Wakati fulani nikasema, inawezekana Uchaguzi huu hautafanyika karibuni utafanyika baadae.
Lakini Wanasiasa wengine wakasema hapana, tukazanie moja tu la kuwa na Tume Huru na kuwa na Waangalizi wa Uchaguzi. Mambo Mawili lakini tuendelee kuwa na Uchaguzi.
Sasa ndo maana tukachukua wiki nzima toka wiki iliyopita, kuongea na Wanasiasa ndani ya Chama na nje ya chama watupe Mwanga wa nini kifanyike".
Pia soma:
Elections 2020 - Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea
Kwanza ni aibu kwa wapinzani kushiriki uchaguzi while Hakuna Tume Huru ya uchaguzi kama walivokua wanaidai huko nyuma ....pili inasikitisha sana eti tunataka waangalizi wa kimataifa ...
Mnadhan watawashinda wana Lumumba kwa propaganda!? Shida Tanzania sijaona wapinzani wa kweli wote wapiga dili tu Ccm itatawala miaka 1000.

Huyu hana lolote yeye na mkwere walikuwa kwenye nafasi yakubadilisha sheria za kipuuzi kwa maslahi ya Taifa hawakufanya hivyo waliamini haitatokea yakawagusa wao leo yuko nje ya Ulingo anatoa povu atulie wenzie wafanye yao! binafsi nitasikitika ikiwa vyama vya upinzani vitampa nafasi yakugombea
Membe anahoji:
"Je Tupo tayari kwenda kwenye Uchaguzi bila kuwa na tume huru?
Tume huru ya Uchaguzi ndugu zangu, maana yake ni kwamba uwe na Tume katika ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa ambayo ina watu wa aina zote. Wa dini zote, vyama vyote, aina zote za Elimu, Wanasiasa Maarufu bila kujali chama Tawala, Wanakuwa kwenye hilo kundi.
Ili wanapo amua kuhusu Mwanachama anayeomba Udiwani au Ubunge, apitishwe bila Upendeleo.
Sasa mtu mmoja akaniuliza, "Kwani huko nyuma Mheshimiwa mlipitishwaje?". Nikasema tulipitishwa kwa utaratibu huo huo lakini katika mazingira ya sasa hivi, ambayo Mkuu wa Wilaya au Mkuu wa Mkoa au Mkurugenzi, anajisikia hofu kwamba akipita Mtu wa Chama kingine Cheo chake kinaweza kuondoka, anaweza akafanya vitendo vya Upendeleo kulinda Masrahiya cheo chake.
Kwahiyo katika Mazingira ya sasa lazima tuwe na Tume Huru.
Nikawa najiuliza, hili swala la Tume huru tunafanyaje? Twende nalo hivyo hivyo au tuwe na Tume huru? Jibu likawantiwe na tume huru.
Nikawa pia najiuliza kwamba safsri hii tumeambiwa Waangalizi wa Uchaguzi wa dunia( International observers) hawatakuwepo kwa sababu UNDP hajatoa fedha za Uchaguzi, hawatakuwepo sababu wengi wanahofia Corona.
Je, tupo tayari kwenda kwenye Uchaguzi katika mazingira ya kutokuwa na Waangalizi wa Uchaguzi kutoka kote Duniani watakao Sema Uchaguzi huu ulikuwa wa haki, ulikuwa huru na unao heshimika, tupo tayari kufanya hivyo bila kuwa na Waangalizi wale?
Nikawa najiuliza haya Maswali. Wakati fulani nikasema, inawezekana Uchaguzi huu hautafanyika karibuni utafanyika baadae.
Lakini Wanasiasa wengine wakasema hapana, tukazanie moja tu la kuwa na Tume Huru na kuwa na Waangalizi wa Uchaguzi. Mambo Mawili lakini tuendelee kuwa na Uchaguzi.
Sasa ndo maana tukachukua wiki nzima toka wiki iliyopita, kuongea na Wanasiasa ndani ya Chama na nje ya chama watupe Mwanga wa nini kifanyike".
Pia soma:
Elections 2020 - Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea
Tanzania inakufa sio upinzani! Kwani Zimbabwe na North Korea na Venezuela umekufa uoinzani au zimekufa nchi?Bila tume huru , upinzani unakufa rasmi nchini Tanzania
Mazoea mabaya. Tutaangamia.Jecha alifuta, matokeo na Maalim alisusia uchaguzi na hakuna lililobadilika.. Shein amepiga miaka yake mitano saafi kabisa.. Ukisusa wenzio wala na hakitafanyika kitu.
Wewe umeanza lini kudai tume huruWewe ndiyo akili yako haina akili, haiwezekani udaganywe na wapinzani kudai tume huru sasa wakati uchaguzi uko karibu. Kwa nini hawakudai tangia mwanzo? Hata huu uchuguzi ukimalizika hawatadai tume huru ila ukikaribia uchaguzi mwingine wataanza makelele ya kudai tume huru.
Ndio maana sisi wengine tunamwambia atulie sababu kipindi yuko mamlakani na mkwere walikuwa na nafasi yakubadili hizo sheria nivile waliamini watakomoa wapinzani now yamemkuta katupwa nje ya uwanja analialiaWakati akiwa sisiemu na yeye kama mbunge, ilikuwa huru?
Kimefanyika nini kudai maana miaka mitano imepita watu busy na matukio, mara CAG, mara Makonda, mara expansion joints. Kumekucha watu wanakumbuka shuka.madai ya tume huru yameanza 2020 kakaribia uchaguzi? kama member wa JF anakuwa hivi namna hii,hoko nje kukoje
Unajua umuhimu wa tume huruWewe ndiyo akili yako haina akili, haiwezekani udaganywe na wapinzani kudai tume huru sasa wakati uchaguzi uko karibu. Kwa nini hawakudai tangia mwanzo? Hata huu uchuguzi ukimalizika hawatadai tume huru ila ukikaribia uchaguzi mwingine wataanza makelele ya kudai tume huru.
Wapinzani maslai,hawana lolote na hawana dhamira ya dhati ya kuleta mageuzi....Kwanza ni aibu kwa wapinzani kushiriki uchaguzi while Hakuna Tume Huru ya uchaguzi kama walivokua wanaidai huko nyuma ....pili inasikitisha sana eti tunataka waangalizi wa kimataifa ...