Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani ndio mnakumbuka tume huru leo na huyo Membe wenu?madai ya tume huru yameanza 2020 kakaribia uchaguzi? kama member wa JF anakuwa hivi namna hii,hoko nje kukoje
Hapo ndio ushauri wa Bagonza kuwa sabasaba hii tuandamane kupeleka ujumbe kuwa tunataka tume huru ya uchaguzi unapoonekana wa maana.Jecha alifuta, matokeo na Maalim alisusia uchaguzi na hakuna lililobadilika.. Shein amepiga miaka yake mitano saafi kabisa.. Ukisusa wenzio wala na hakitafanyika kitu.
Kitu huhitajika wakati wake ukifikaNa ufe tu, upinzani gani wa kudai tume huru ukikaribia uchaguzi, kwa nini hawakudai tangu mwanzo? wameshaona mambo yanaenda kombo wanatafuta njia ya kutokushiriki uchanguzi.
Pole haki ya kudai tume huru ni ya msingi, unaposhindana na mgombea ambae pia ni refa, kibendera, kamisaa .........Na ufe tu, upinzani gani wa kudai tume huru ukikaribia uchaguzi, kwa nini hawakudai tangu mwanzo? wameshaona mambo yanaenda kombo wanatafuta njia ya kutokushiriki uchanguzi.
Membe anahoji:
"Je Tupo tayari kwenda kwenye Uchaguzi bila kuwa na tume huru?
Tume huru ya Uchaguzi ndugu zangu, maana yake ni kwamba uwe na Tume katika ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa ambayo ina watu wa aina zote. Wa dini zote, vyama vyote, aina zote za Elimu, Wanasiasa Maarufu bila kujali chama Tawala, Wanakuwa kwenye hilo kundi.
Ili wanapo amua kuhusu Mwanachama anayeomba Udiwani au Ubunge, apitishwe bila Upendeleo.
Sasa mtu mmoja akaniuliza, "Kwani huko nyuma Mheshimiwa mlipitishwaje?". Nikasema tulipitishwa kwa utaratibu huo huo lakini katika mazingira ya sasa hivi, ambayo Mkuu wa Wilaya au Mkuu wa Mkoa au Mkurugenzi, anajisikia hofu kwamba akipita Mtu wa Chama kingine Cheo chake kinaweza kuondoka, anaweza akafanya vitendo vya Upendeleo kulinda Masrahiya cheo chake.
Kwahiyo katika Mazingira ya sasa lazima tuwe na Tume Huru.
Nikawa najiuliza, hili swala la Tume huru tunafanyaje? Twende nalo hivyo hivyo au tuwe na Tume huru? Jibu likawantiwe na tume huru.
Nikawa pia najiuliza kwamba safsri hii tumeambiwa Waangalizi wa Uchaguzi wa dunia( International observers) hawatakuwepo kwa sababu UNDP hajatoa fedha za Uchaguzi, hawatakuwepo sababu wengi wanahofia Corona.
Je, tupo tayari kwenda kwenye Uchaguzi katika mazingira ya kutokuwa na Waangalizi wa Uchaguzi kutoka kote Duniani watakao Sema Uchaguzi huu ulikuwa wa haki, ulikuwa huru na unao heshimika, tupo tayari kufanya hivyo bila kuwa na Waangalizi wale?
Nikawa najiuliza haya Maswali. Wakati fulani nikasema, inawezekana Uchaguzi huu hautafanyika karibuni utafanyika baadae.
Lakini Wanasiasa wengine wakasema hapana, tukazanie moja tu la kuwa na Tume Huru na kuwa na Waangalizi wa Uchaguzi. Mambo Mawili lakini tuendelee kuwa na Uchaguzi.
Sasa ndo maana tukachukua wiki nzima toka wiki iliyopita, kuongea na Wanasiasa ndani ya Chama na nje ya chama watupe Mwanga wa nini kifanyike".
Pia soma:
Elections 2020 - Membe: Kamati Kuu haina mamlaka ya kunifukuza Uanachama wa CCM bali Halmashauri Kuu ya Taifa. Asema kati ya Juni na Oktoba chochote kinaweza tokea
CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama
Basi kwenye uchaguzi huu wa 2020, haiwezekani kupata "Tume Huru", hivyo kwa maneno yako, wangoje "wakati wake ukifika" hapo 2025 au hapo hautakuwa "wakati wake"?Kitu huhitajika wakati wake ukifika
Wanaodai Tume huru ya Uchaguzi wataje mapungufu yaliyomo kwenye Ibara ya 74 ya Katiba ya JMT (1977) na kuyafafanua. Isitoshe wanaodai Tume huru walikuwa wabunge, hivyo basi wangeweza kujenga hoja ya kurekebisha vifungu vya Ibara hiyo vinavyoinyima Tume uhuru wa kutekeleza majukumu yake.

Akijibu hili nitag mkuuHahaha nigger pleaaseeee, ndio unaona leo???
Wapinzani hawapo kwa ajili ya matumbo yako Mbona CCM kutwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwahujumu kwa kila Mbinu na sasa wakurugenziccm wanatembea na matokeo mifukoni ikifika siku ya kutangaza watawatangaza washindi feki wasio chaguo la wapiga kura, Nchi inaelekea kuongozwa na wabunge chaguo la wakurugenziccm siyo chaguo la wananchi.Utakuwa na matatizo ya kufikiri, kwa Tanzania watu wengi wanataka tume huru lakini tatizo ni wapinzani wanyewe hawana "support" toka kwa wananchi kwa sababu upinzani wenyewe wako kwa ajili ya matumbo yao(wapiga dili) na hawako kwa ajili ya wananchi ndiyo maana wanaombea mabaya kwa nchi na si maendeleo.
Mda uliopo ni mwingi unatosha kuunda tume huru ya uchaguzi na kutodai zamani siyo kigezo cha kutodai sasaWewe ndiyo akili yako haina akili, haiwezekani udaganywe na wapinzani kudai tume huru sasa wakati uchaguzi uko karibu. Kwa nini hawakudai tangia mwanzo? Hata huu uchuguzi ukimalizika hawatadai tume huru ila ukikaribia uchaguzi mwingine wataanza makelele ya kudai tume huru.
Wapinzani wa kweli wapo wengi ndiyo maana kutwa CCM huwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani, upinzani ungekuwa haupo kweli usingekuta CCM inaingia gharama kubwa kuwadhoofisha kwa kila hali.Kwanza ni aibu kwa wapinzani kushiriki uchaguzi while Hakuna Tume Huru ya uchaguzi kama walivokua wanaidai huko nyuma ....pili inasikitisha sana eti tunataka waangalizi wa kimataifa ...
Mnadhan watawashinda wana Lumumba kwa propaganda!? Shida Tanzania sijaona wapinzani wa kweli wote wapiga dili tu Ccm itatawala miaka 1000.
Sio lissu tena?Naiona roho ya Membe ndani ya Nyalandu kama maandalizi ya asali ya kumpata mgombea sahihi wa kuipeperusha bendera ya CDM.