Uchaguzi 2020 Bernard Membe: Tunafanyaje Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi na Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa?

MEMBE MEMBE MEMBEEEEEEEE,WAMEKUONEA SANA
 
Njaa ikihamia kichwani ni shida tupu.

Nani kakuambia utaishi miaka 1000?

Makaburu walikuwa na akili mbovu kama zako,kiko wapi?
 
Magu ashacheza zake, anasubiri tu kutumbua watu watakaotoa fomu kwa wapinzani. Subiri uone mchezo utakaochezwa mwaka huu. Zee lile ni kichaa na vilaza wengi wanaunga mkono huu ungese
 
Watanzania hatuna utamaduni wa kudai haki zetu.
 
Huyu hana lolote yeye na mkwere walikuwa kwenye nafasi yakubadilisha sheria za kipuuzi kwa maslahi ya Taifa hawakufanya hivyo waliamini haitatokea yakawagusa wao leo yuko nje ya Ulingo anatoa povu atulie wenzie wafanye yao! binafsi nitasikitika ikiwa vyama vya upinzani vitampa nafasi yakugombea
 
Jecha alifuta, matokeo na Maalim alisusia uchaguzi na hakuna lililobadilika.. Shein amepiga miaka yake mitano saafi kabisa.. Ukisusa wenzio wala na hakitafanyika kitu.
Mazoea mabaya. Tutaangamia.
 
Mimi naamini Lowasa ilitumika nguvu kubwa sana kumshawishi arudi CCM ili kuondowa imani kwa uponzani juu ya watu tishio kwa CCM kama Membe. Membe ukitowa Lowasa kuhamia CDM na kurudi CCM basi angekuwa na nafasi kubwa ya kuunyaka Urais kwa kupitia uoinzani.
 
Wewe umeanza lini kudai tume huru
 
Wakati akiwa sisiemu na yeye kama mbunge, ilikuwa huru?
Ndio maana sisi wengine tunamwambia atulie sababu kipindi yuko mamlakani na mkwere walikuwa na nafasi yakubadili hizo sheria nivile waliamini watakomoa wapinzani now yamemkuta katupwa nje ya uwanja analialia
 
ni ndoto za mchana kudai tume huru kipindi hiki wakati vyama vyote vimeshasaini makubaliano ya kuingia ktk kinyanganyiro,
kwa mtazamo wangu sioni umuhimu wa tume huru zaidi ya tume tuliyo nayo sasa endapo tu watendaji watakuwa waadilifu,
nasema sioni haja ya tume huru kwa sababu tume huru sio mwarobaini....mfano angalia jirani zetu kenya walikuwa na tume huru lkn matokeo yalipo toka vyama vya upinzani havikuridhika na matokeo na bado waliilalamikia tume kuharibu!! hivyo sioni msingi wowote wa wa tume huru....
naamini tume tuliyo nayo ni waadilifu sana kuliko hata tume huru tunayo ifikiria.
 
Mwanasiasa akifikia muda wa kutafuta kiki na kuungwa yupo tayari hata kutoa tuzi-change karata au kutoa tako-shil uvuvi!
 
madai ya tume huru yameanza 2020 kakaribia uchaguzi? kama member wa JF anakuwa hivi namna hii,hoko nje kukoje
Kimefanyika nini kudai maana miaka mitano imepita watu busy na matukio, mara CAG, mara Makonda, mara expansion joints. Kumekucha watu wanakumbuka shuka.
 
Unajua umuhimu wa tume huru
 
Leo ndo anajua tume huru Hali waliweka pamba walipokuwa kwenye sytem,kama Hawa wa Sasa walivoweka pamba.
 
Wapinzani maslai,hawana lolote na hawana dhamira ya dhati ya kuleta mageuzi....

Wakitaka kurejesha imani kwa sisi tunaopenda mageuzi hii ndiyo kiwe kipaumbe chao

Bila ya tume huru hakuna uchaguzi,kama vipi tuanze moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…