Mda uliopo unatosha kuunda Tume huru ya uchaguzi wala hawajachelewa kabsaYani ndio mnakumbuka tume huru leo na huyo Membe wenu?
Mlipokuwa busy kuanzisha mijadala ya kijinga kama vile rais hajui kingereza, Bashite, tetemeko la kagera na upuuzi mwingine kama huo tuliwaambia huo muda mngeutumia kudai tume huru.
Ona sasa siku hizi mko busy na kigogo eti anatoa siri za Magufuli! Upumbavu mtupu. Na msipoangalia huyo Membe ndio mgombea wenu mwaka huu!
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Le mutuz na cyprian Musiba walilewa Bar wakaropoka kuwa wameambiwa na Naibu Rais Daud Bashite kuwa Tundu lisu akigusa Ardhi ya Tanzania atakamatwa na kufungwa jela kwa miaka mingi kitendo ambacho kinamfanya ashindwe kurejea hapo Dsm.Sio lissu tena?
Le mutuz hanywi bia kamandaLe mutuz na cyprian Musiba walilewa Bar wakaropoka kuwa wameambiwa na Naibu Rais Daud Bashite kuwa Tundu lisu akigusa Ardhi ya Tanzania atakamatwa na kufungwa jela kwa miaka mingi kitendo ambacho kinamfanya ashindwe kurejea hapo Dsm.
Le mutuz usiku halali kazi ni moja kuzurula hovyo kwenye Bar night club utazani ni kijana kumbe ana miaka 57 sasaLe mutuz hanywi bia kamanda
Hana tofauti na MboweLe mutuz usiku halali kazi ni moja kuzurula hovyo kwenye Bar night club utazani ni kijana kumbe ana miaka 57 sasa
Yaani mwezi wa saba huu ndio muandamane? Uchaguzi mwezi wa kumi? Nashauri msusie tu uchaguzi.Hapo ndio ushauri wa Bagonza kuwa sabasaba hii tuandamane kupeleka ujumbe kuwa tunataka tume huru ya uchaguzi unapoonekana wa maana.
Pengine hayo ni maono
Ukweli ndio huo walioko madarakani wanajisahau sana, hata Membe mwenyewe sidhani kama aliwahi fikiria kuwa anaweza kutamka hayo aliyoyatamka leo.Upinzani kwa sasa unaweza kuyumba sana na ukawa kama umepotea kabisa but unaweza kuja ku gain momentum hata baada ya miaka 10 ijayo na ukaking'oa chama tawala madarakani......
hizi ni hesabu za nyakati.....
wachache sana wanaweza nielewa.....
Fungu lipi? Lile la CHENJI YA RADA AU LILE LA FEDHA ZA LIBYA YA GADDAFI!? Tueleze vizuri.Kashaleta lile fungu huyu nae?
Hawa ni WACHUMIA TUMBO tu. Hawana lolote, wanaangalia maslahi yao tu. Hawana tofauti na wale mnaowaita kwa KI- English - OPPORTUNISTS!Ukweli ndio huo walioko madarakani wanajisahau sana, hata Membe mwenyewe sidhani kama aliwahi fikiria kuwa anaweza kutamka hayo aliyoyatamka leo.
Walao la Rada lilifika japo mahakamani. Tunahitaji mjadala na za Gaddafi .huyu mzee atadhani tumesahau walivyokuwa wanaitafuna nchi. Kuna siku serikali nzima ilokiwa inamwagika ughaibuni kufanya kongamano ikiongozwa na Mzee huyu.wanaomfikia wamwambie atupishe la sivyo tutaomba mahakama iunganishe mafuriko kwenye kesi yake na mwanaharakati huruFungu lipi? Lile la CHENJI YA RADA AU LILE LA FEDHA ZA LIBYA YA GADDAFI!? Tueleze vizuri.
Kwa hiyo alitaka tuahirishe uchaguz tusubiri wapate hela. Fikiria huyu ndiye rais sasa anaongoza nchi.Uboya huu kudhani hatutaweza fanya uchaguzi eti kwa sababu UNDP hajatoa hela kwa waangalizi wa kimataifa au eti kisa corona. Uchaguzi utafanyika. Kwani hayo mataifa kama Urusi, Ufaransa, Ujerumani na Marekani huwa wanatuitaga kwenda kuwa waaangalizi wa kimatafa kwenye chaguzi zao?
Kuamin bila wao uchaguzi hauendi ni umbu-umbumbu uliopitiliza.