Bernard Membe usibishane na Maaskofu, samehe tu. Yule ni kichaa anastahili msamaha, hakujua atendalo


Unaongea sana mkuu. Kifo ni Siri . Kwanza huwezi kujua mwishoni mwake alifanya nini. Pia huwezi jua maisha yake alifanya mangapi. Kuna karma za kidunia na Mungu hahusiki nazo maana we have a free will.
 
Pascal Mayalla

Naomba uujulishe UMMA wa JF, Je kilichomtokea Membe (KIFO), ndio kilichomtokea huyo kiongozi mwingine?

Asante.
 

Hii inaogopesha. Akihitimisha maisha yako hata hujui, wa karibu yako nao hawajui! Mnashtukizwa nyote. Inatisha sana. Mungu ni Mkubwa sana na anashangaza. Yote kwa yote, tupate funzo kutokana na kifo chake.
 
Binafsi siamini kuwa kifo cha Bw. Membe kina uhusiano na kukataa ushauri wa viongozi wa dini. Sidhani kabisa kwanza sio kweli kuwa viongozi wetu wa dini ni waadilifu. Wengi ni wanafiki watataka wewe ufanye jambo ambalo hata wao hawalifanyi. Kuna viongozi wangapi wa dini tena wa dhehebu moja wenye bifu kubwa wenyewr kwa wenyewe? Membe amekufa kwa sababu siku alizopangiwa na Mungu hapa duniani zilifikia ukomo
 
Tumesha mlipa baburi nadhauri musiba atowe malipo ya jeneza tu [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Kuanzia Leo naanza meditation..,naanza kuamini Kuna ulimwenguni wa roho!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Meditation ni uchawi.

Jicho la Tatu ni jicho la Shetani, utaona mapepo, wachawi na kuzimu.

Nakushauri mpokee na mwamini Yesu Kristo Messiah, atakupa ROHO wake MTAKATIFU.

Utapokea MACHO ya Rohoni. Utaona kuliko wao.

Amen
 
Yametimia sasa.
Una maono makali sana Kiongozi.
Nimejifunza kitu hapa.
Ubarikiwe sana🙏
 

Nakuelewaga sana bro
 
Unaongea sana mkuu. Kifo ni Siri . Kwanza huwezi kujua mwishoni mwake alifanya nini. Pia huwezi jua maisha yake alifanya mangapi. Kuna karma za kidunia na Mungu hahusiki nazo maana we have a free will.
Hizo karma ni sehemu ya maisha yako ambayo tayari yameandikwa. Anasema anakuja kabla hata mimba yako haijatungwa. Hivyo Mungu anaratibu maisha yetu kuanzia mimba kutungwa hadi kufa kwetu.

5
Yer 1:5 SUV
Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.
 
Hii inaogopesha. Akihitimisha maisha yako hata hujui, wa karibu yako nao hawajui! Mnashtukizwa nyote. Inatisha sana. Mungu ni Mkubwa sana na anashangaza. Yote kwa yote, tupate funzo kutokana na kifo chake.
Kifo ndo kitu cha uhakika zaidi kuliko vyote. Hatujui wala kuwa na uhakika na mengi lakini kifo tuna uhakika nacho kuwa hakina budi kutokea. It is just a matter of time we'll all be gone; one by one we will go. Kwa kuuwawa kwa namna yoyote ile including magonjwa, sumu, shaba na kadhalika.

It's got nothing to do with God but it's got everything to do with the choices we make day in day out.

RIP Jasusi mbobezi.
 
Hivi wafahamu hayo uyasemayo hao viongozi wa dini (kupitia ulimwengu wa kiroho) waweza kuyasikia?

Kwani ukienda kutubu kanisani kiongozi wa kanisa kusikiliza toza zako kama yeye au kwa niaba ya Mungu?

Hivi wafahamu ukiingia ulimwengu wa kiroho na kufunga siku 7 kwa ajili ya madhira ya mtu fulani huku ukiomba kwa sala yule mtu aweza kushughulikiwa na nguvu za kiroho?

Viongozi wa dini nao ni binadamu ili wakiingia kwenye ulimwengu wa kiroho huwa watu wa aina ingine.

Papa Francis alikwenda Hungary na kaongea na Zelenzky kwa simu lakini ameona haitoshi sasa hivi waandaa mkutano mwingine maalum na Zelensky wa uso kwa uso ili waingie kwenye ulimwengu wa kiroho wafanye maombi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…