ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Utapeli tu huu, hakuna kitu cha hivi. Mmeaminishwa uongo sana.Hivi wafahamu hayo uyasemayo hao viongozi wa dini (kupitia ulimwengu wa kiroho) waweza kuyasikia?
Kwani ukienda kutubu kanisani kiongozi wa kanisa kusikiliza toza zako kama yeye au kwa niaba ya Mungu?
Hivi wafahamu ukiingia ulimwengu wa kiroho na kufunga siku 7 kwa ajili ya madhira ya mtu fulani huku ukiomba kwa sala yule mtu aweza kushughulikiwa na nguvu za kiroho?
Viongozi wa dini nao ni binadamu ili wakiingia kwenye ulimwengu wa kiroho huwa watu wa aina ingine.
Papa Francis alikwenda Hungary na kaongea na Zelenzky kwa simu lakini ameona haitoshi sasa hivi waandaa mkutano mwingine maalum na Zelensky wa uso kwa uso ili waingie kwenye ulimwengu wa kiroho wafanye maombi.
Kwanza hao viongozi, wana sifa hizi? Ikipungia hata moja, wapite hivi.
assage
Resources
Hebrew/Greek
Your Content
1 Timotheo 3:1-7
Neno: Bibilia Takatifu
Viongozi Katika Kanisa
3 Neno hili ni kweli, kwamba mtu akitaka kuwa askofu, anata mani kazi njema. 2 Basi, askofu awe mtu asiye na lawama. Awe mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtaratibu, mkarimu na aju aye kufundisha. 3 Asiwe mlevi, wala mgomvi bali awe mpole; asiwe mbishi wala mtu apendaye fedha. 4 Aweze kuisimamia nyumba yake vizuri akiwafanya watoto wake kuwa wanyenyekevu na wenye heshima katika hali zote. 5 Kwa maana kama mtu hawezi kuitawala nyumba yake mwenyewe atawezaje kuliangalia kanisa la Mungu? 6 Asiwe mtu aliyeongoka karibuni asije akajiona na kuhukumiwa kama shetani alivyohukumiwa. 7 Kadhalika, awe mwenye sifa njema kati ya watu wa nje ya kanisa, asije akalaumiwa na kuanguka katika mtego wa shetani.